Kweli Arsenal hatupendwi jamani,yaani sasa hivi Man Utd hawatupendi,Chelsea hamtupendi,Liver hawatupend n.k.........Tumewakosea nini?...
Anyways......Dua zenu mbaya kwendo ndo ushindi kwetu......Mtaomba sana tufungwe hiyo wednesday but mpira ni dakika 90 Muraa....Nani alijua kwamba leo tunashinda?
WACHA1 upo??njoo na lete mapichazzzzz haha najuwa ulitegemea ushindi hapo....
Wacha1 kakimbia hapatikaniki tena nadhani atakuwa kaenda MMU kujipooza
Hayumo kabisa kijiweni.....
There are currently 26 users browsing this thread. (15 members and 11 guests)
Pole kwanza jirani.
Naona kuna dalili za Arsenal kudondosha points zaidi, na nina hakika Chelsea itamaliza juu ya Arsenal....Jumatano itakuwa nafasi nzuri ya kuwapita maana sioni mkiwafunga Spurs.
Mmmmhh!!!! Jirani vipi tena, umengalia mpira sawa na tulioangalia wengine leo au kuna mwingine mlioshinda leo?!
Tangu mwanzo sisi 'tulikanyaga mdudu mbaya' hivo si ajabu kuwa hapo. Sasa nyie mkuu mmeshindwa kutufunga leo na hii defence yetu ya kuungaunga!!! Kweli magobole yenu yamejaa maji!! Afadhali mtumie hata manati!!!Kaa kimya bwana.........Wewe nafasi yako ni ya 7 tu mwaka huu
Kweli Arsenal hatupendwi jamani,yaani sasa hivi Man Utd hawatupendi,Chelsea hamtupendi,Liver hawatupend n.k.........Tumewakosea nini?...
Anyways......Dua zenu mbaya kwendo ndo ushindi kwetu......Mtaomba sana tufungwe hiyo wednesday but mpira ni dakika 90 Muraa....Nani alijua kwamba leo tunashinda ama kutoka sare?........Kila mtu humu alitaka tufungwe........lol
Tatizo mnaongea sana lakini mpira hamjui....shukuruni leo mmewakuta hao liverpool na vipasi mmepiga,hiyo jumatano sijui kama hata mtacheza na dakika 90 mtaziona ni dakika 200......
Hivi wewe unajua sheria za mpira na mambo ya added time?Refa ni mse-nge gemu ilitakiwa kuisha 98th minute ye kaipeleka hadi dakika 101
Mkuu hata MANU/Chelsea wanaweza kudondosha points nyingi...MANU wako kwenye nafasi nzuri kuwanyang'anya ubingwa wenu lakini bado kuna uwezekano mkubwa wa kuwa surprises za hapa na pale ambazo zinaweza kabisa kubadili mueleo wa league katika hizi dakika za lala salama.
Teh teh......Hiyo post iliandikwa baada ya RVP kufunga goli......Kumbe ikawa imebaki dk 1,ile napost tu penati golini kwetu............
Btw............Nilishasema siku nyingi kwamba mwaka huu bingwa ni Man Utd,hizi niyngine ni blah blah tu za kuchangamsha kijiwe na tukizubaa hata hiyo nafasi ya 3 tutaikosa....
Kwa timu ya aina tuliyonayo na Manager tuliyenaye ni vigumu sana kuchukua ubingwa wa EPL wala UCL hata kwa miaka 10 ijayo,solution ni kumuondoa Arsene Wenger na kusajili wachezaji wenye ari ya ushindi na wasiokata tamaa kama wale wa Man Utd.....
Ninaombea sana Kroenke achukue hisa zote na kuimiliki timu kisha amtimulie mbali AW(simpendi huyu mtu mimi) na kumleta manager mwingine ambaye atatuletea wachezaji wa ushindi badala ya hawa watengeneza nywele akina Chamakh & co........
'Eee Mungu tuletee Stan Kroenke Ashburton Grove atuepushe na balaa hili la kukosa mataji kwa zaidi ya nusu muongo sasa,Amen'.
Haa mambo ya kutegemea fulani atufungie wakati sie hatushindi ualitucost last season, maana ilifikia hatua tunategemea the likes of wigan and west ham wawafunge Chelsea wakati sie tunafail kuzifunga timu kama Blackburn.Nakubaliana na wewe mkuu kwamba timu zote bado zitapoteza points, lakini mentality kama hii ndio inawacost Arsenal, huwezi kukaa ukisubiri timu nyingine zikufanyie favour kwa kuifunga ManU wakati wewe mwenyewe haushindi mechi zako!
Itakuwa busara ukaanza kuingalia timu yako kwanza na manager wenu..............sio kila kosa la kwenye EPL FERGIE ndio chanzo,mtu mzima asiangalie mpira ukawii kusema alipeleka bahasha BARCELONA,BIRMINGHAM..........Kama kawa mzee Furngie alikuwepo kuleta bahasha mwenyewe kiwanjani, huwezi kusema refa anasema extra time 8 minutes halafu unaongeza dakika 11 then hata mchezaji wa Loserfools atapata ule mpira its not a penalty in miles away na sio scoring chance. Kama kawaida bahasha zinafanya kazi lakini tutacheza hadi last game.
Tutachukua point moja kibindoni sio haba.
Wacha1 kakimbia hapatikaniki tena nadhani atakuwa kaenda MMU kujipooza
Hayumo kabisa kijiweni.....
Kumbe wewe ulijua ni nini?! Tena huyo mnoko Wacha1 namtafuta sana! Nimempa kazi kule Liver lkn amekacha.....!!!