Malengo msimu uliopita ilikuwa Arteta aingie ndani ya timu6 , akawa wa 5, akapewa mkataba mpya ,na msimu uliopita ilikuwa ku establish Style of play ,
Japo nakumbuka ulidai timu itashuka daraja
Huyo Auba angeachwa alishakuwa kirusi ,wote mashahid humu, anatukosesha goli na Newcastle, man u ,n.k hajitumi, anafika mazoezin muda anaotaka yeye
Ndio ukubwa huo?
Bila Arteta kulitimua Hilo sharobaro timu isingekuwa hapa ilipo
Nidhamu popote pale inazungumziwa
Wewe Kama timu AUBA sioni aibu kukuona unapingana na Arteta ,na Toka awali unampinga Arteta hivo lazima utamsapoti Auba ,
Hata Ozil aliondoka kwa jazba ,akawa anamponda Arteta mitandaon kipind Arteta anatengeneza timu hafanyi vzr, lkn siku hizi amekuwa sapota mkubwa
Hata Auba kasema ilikuwa hasira tu, Cha ajabu wewe unaona sawa