Ungejibu kwa hoja sio kusema nipunguze maneno, nakumbuka ndio wewe ulimponda Sana Jesus humu,Hamisi ndugu yangu nakukubali sana na unajua my friend but kwa hili punguza maneno( YOU BETTER KEEP YOUR MOUTH SHUT ) ushabiki uzivunge viwango namna hii wote tunaipenda Arsenal but kwenye ukweli lazima usemwe
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nimesema hapa jamvini wapo walodai pale mwanzoni "Arteta Out".Kuna watu walitaka Arteta out?
Pale Emirates hajawahi hata kunyanyuliwa bango moja la Arteta out
Zaidi Kuna mabango ya kumtia moyo na kumsifia
Arteta hajawahi kubebewa mabango pale Emirates ,labda na mashabiki wa mitandaonNimesema hapa jamvini wapo walodai pale mwanzoni "Arteta Out".
Hata pale Emirates mimi mwenyewe niliona mabango pale Arsenal ilipopoteza mechi tatu za mwanzo na kushika mkia.
Sasa mambo yaenda uzuri, tuzidi kuipa support timu yetu.
COYGs!!
Ndivyo mashabiki walivyo worldwide, ukipoteza mechi nne mfululizo lazima mabango yaanze na ndio maana wanasema kuwa kocha ni kazi ngumu sana.Nimesema hapa jamvini wapo walodai pale mwanzoni "Arteta Out".
Hata pale Emirates mimi mwenyewe niliona mabango pale Arsenal ilipopoteza mechi tatu za mwanzo na kushika mkia.
Sasa mambo yaenda uzuri, tuzidi kuipa support timu yetu.
COYGs!!
Arteta hajawahi kubebewa mabango ya out EmiratesNdivyo mashabiki walivyo worldwide, ukipoteza mechi nne mfululizo lazima mabango yaanze na ndio maana wanasema kuwa kocha ni kazi ngumu sana.
Xhaka alipoteza connection na mashabiki, leo hii wanaanza kuimba jina lake hadi mwenyewe anashangaa, mpira haukupi mda kama unafanya vibaya, utaambiwa upishe wengine wenye vision tofauti.
Huyo Gabi akiendelea hivi na maboko hata Arteta atamuweka bench, ni mzito, hayupo fluid kama wenzake, his reading of the game is poor. Kocha atamtetea coz ni chaguo lake, hadi pale atakapoona maboko yamezidi nae atawekwa pembeni.
Partey kuwa injured kila mara pamoja na uwezo wake mashabiki hawafurahi, wanataka replacement/competitor. Soka sio game ya kubembelezana.
COYG!
nilijisemea kitamboHuyo firmino hata kumaliza goli kumi kwa msimu ni mtihani
vvd hakuna kitu
salah hakuna kitu
TAA ni uchochoro
Ngoja kesho watu wapewe hesabu za umri ndio utaelewa nini namaanisha
Kifupi tuseme kkocha ana imani nae, anaamini atabadilika.Ndivyo mashabiki walivyo worldwide, ukipoteza mechi nne mfululizo lazima mabango yaanze na ndio maana wanasema kuwa kocha ni kazi ngumu sana.
Xhaka alipoteza connection na mashabiki, leo hii wanaanza kuimba jina lake hadi mwenyewe anashangaa, mpira haukupi mda kama unafanya vibaya, utaambiwa upishe wengine wenye vision tofauti.
Huyo Gabi akiendelea hivi na maboko hata Arteta atamuweka bench, ni mzito, hayupo fluid kama wenzake, his reading of the game is poor. Kocha atamtetea coz ni chaguo lake, hadi pale atakapoona maboko yamezidi nae atawekwa pembeni.
Partey kuwa injured kila mara pamoja na uwezo wake mashabiki hawafurahi, wanataka replacement/competitor. Soka sio game ya kubembelezana.
COYG!
Ninachosema ni kuwa soka haikupi mda wa kujipanga, ukikosea kidogo tu unakuwa unfavourable kwa mashabiki. Leo hii Klopp pamoja na achievement zote, tayari wanaanza kumchoka.Arteta hajawahi kubebewa mabango ya out Emirates
Kama Kuna ushahidi naombeni
Ni Kocha anayepewa sapoti na mashabiki since day one
Yeah, na kila kocha anakuwa na watu wake. Alimuamini Xhaka, akamuomba asiondoke, leo hii Xhaka anaanza kuwa fan favourite. Binafsi arsenal haina beki kiongozi, Saliba anataka kuongozwa, hata juzi Gallas alisema anahofia ukuaji wa Saliba coz Arsenal haina beki kiongozi.Kifupi tuseme kkocha ana imani nae, anaamini atabadilika.
Na hivi ndivyo mpira ulivyo, kila mmoja na maoni yake, wengi tunaona gab anatuzingua ila kocha bado anamtumia.
Kuna jambo aliliona, xhaka alikjwa akitumika ndivyo sivyo,Yeah, na kila kocha anakuwa na watu wake. Alimuamini Xhaka, akamuomba asiondoke, leo hii Xhaka anaanza kuwa fan favourite. Binafsi arsenal haina beki kiongozi, Saliba anataka kuongozwa, hata juzi Gallas alisema anahofia ukuaji wa Saliba coz Arsenal haina beki kiongozi.
Unamsikiliza Gallas ambaye alikuwa anashinda daily anamponda Arteta ?Yeah, na kila kocha anakuwa na watu wake. Alimuamini Xhaka, akamuomba asiondoke, leo hii Xhaka anaanza kuwa fan favourite. Binafsi arsenal haina beki kiongozi, Saliba anataka kuongozwa, hata juzi Gallas alisema anahofia ukuaji wa Saliba coz Arsenal haina beki kiongozi.
Aruni aseno uyo, mahaba yako mbele zaidiHamisi ndugu yangu nakukubali sana na unajua my friend but kwa hili punguza maneno( YOU BETTER KEEP YOUR MOUTH SHUT ) ushabiki uzivunge viwango namna hii wote tunaipenda Arsenal but kwenye ukweli lazima usemwe
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kazi yangu sio mpira, yeye aliyeajiriwa kwa kazi hiyo atimize wajibu wake ili kutufurahisha mashabikiUkute hata kupiga danadana hujui,huo ndio ushabiki UHARO