Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,916
- 2,638
Wamrudishe Poch tuu ...Ameanza kutafuta kichakaView attachment 2377831
Bissouma milion 40 anakula benchi. Sasa alisajiriwa wa nini
Wamrudishe Poch tuu ...Ameanza kutafuta kichakaView attachment 2377831
Huyu mwisho wa Siku atagombana na LeviAmeanza kutafuta kichakaView attachment 2377831
Reiss Nelson is line to get minutes vs Bodo/Glimt, Arteta likely to rotate his side ahead of Sunday’s clash against Liverpool. Saka,Martinelli to be rested.Nina uhakika hao wataanzaa kesho kutwa. Sema tuu baada ya kupata matokeo ndo watatolewa kupumzishwa. Labda kama haujamsoma Arteta.
Akipewa huu mkataba ataanza kuflop🚨 Arsenal have reached an agreement in principle, worth nearly £200k-a-week on a five-year contract, on a contract for Bukayo Saka, sources have told Football Insider. [@footyinsider247] #afc
View attachment 2378041
Saka ameanza kulipwa £5000 had Sasa analipwa £70,000 hajawahi flop ndio Kwanza kila day anakuwa hatari,Akipewa huu mkataba ataanza kuflop
Wachezaji weusi hawaaminiki hao. Muda utatujibu.Saka ameanza kulipwa £5000 had Sasa analipwa £70,000 hajawahi flop ndio Kwanza kila day anakuwa hatari,
Angekuwa na umri wa miaka 28-29 sawa, wengi hapa wakishachukua mkataba mnono Wana flop
Rejea ,Auba,ozil hata salah pale Liverpool
But Saka ndio Kwanza ana miaka 22
Saka kazaliwa na kukulia uingerezaWachezaji weusi hawaaminiki hao. Muda utatujibu.
Atakua anazungumzia ndoo ya chooni huyu Arse
.
Fake newsThomas Partey pulled out from training early today, after feeling something in his lower hamstring [@skysportsnews]
.
.
Huyu mwamba mimi naona asifanye mazoezi tu
Awe anakipiga kwenye mechi anarudi nyumbani kulala
