Liver hakuna kitu pale labda wakamie mechi kama ndugu zao manyuuTusimpuuze city kiasi hicho...
Kuuthibitishia umma kuwa tuko serious, tumfunge huyu Liverpool nusu, tukishindwa kumfunga Liverpool kiwete tutakuwa hatuko serious na ule ugonjwa wetu wa big games utakuwa haujaisha.
Ndio maana nikasema kuthibitisha kama tulo serious tuwagonge liver nusu.Liver hakuna kitu pale labda wakamie mechi kama ndugu zao manyuu
Japo Ni msumbufu humu, ila nakukubali kwakutucharua ,Bila hiyana wala choyo Arsenyani mnaubonda mwingi ingawa magoli yenu mengi ni ya kubahatisha sana, yaani mpira unauona kabisa unaenda nje halafu ghafla unadunda kwenye jiwe unajaa wahuni
Msibisheeeeeee
Ila kipa wa Spurs lazima kamati ya FA tumuite kwa mahojiano, lile goli la pili mpira alikua ashaudaka kabisa halafu akauachia makusudi upite, kama hakubeti basi lazima atakua amepokea hongo ili auze mechi.
Will Jr usijitoe ufahamu na kujifanya kukanusha kua Partey ana low IQ. View attachment 2374148
Spurs Toka ligi inaanza nilisema ,kwa uchezaji ule watakamatika TU,the same na man u ,weatham,Partey ni mtu na nusu, binafsi anapocheza Partey nakuwa na amani kuwa mido itatawala mchezo na uwezo wa kushinda ni mkubwa sana.
Hongereni gunners, walau tumeona total dominance against a top team, hivi kumbe spurs sit back kiasi hicho?
So far anacoach Arsenal U16 most of the time...Nakubali mkuu, namuona Xhaka akiwa legend taratibu. Nasikia pia anachukua leseni ya ukocha maybe anaweza kurudi Arsenal kama kocha baadae.
Msimu uliopita mech za Emirates dhidi ya Liverpool and mancity tulitoa warningNdio maana nikasema kuthibitisha kama tulo serious tuwagonge liver nusu.
Japo Ni msumbufu humu, ila nakukubali kwakutucharua ,
Kesho mkazieno city hata sare TU inatosha
Ukicheza na Arsenal hii ndani ya uwanja wa Emirates hakuna timu inayoweza kubisha.Liver hakuna kitu pale labda wakamie mechi kama ndugu zao manyuu
He will be offered the position to U16 Team.Nakubali mkuu, namuona Xhaka akiwa legend taratibu. Nasikia pia anachukua leseni ya ukocha maybe anaweza kurudi Arsenal kama kocha baadae.
Wewe jamaa Ni timu gani naomba leo nijueHuku kileleni baridi jaman
hivi hawa nyumbu walitufungaje
Arsenal hii watupe kombe letu tu
Mkuu Leo hautupitishi darasani kidogo kwenye somo la historia??mpira bila ya utani (tambo) na kejeli za mashabiki hua haunogi kabisaaaa.
Ila kiukweli mnaupiga mwingi mpaka tunawaonea wivu ila mtambue tu kutangulia sio kufika.
Kuhusu City wala usiwe na shaka kabisa, timu zinazojifanya unbeaten sisi ndio kiboko yao, hata nyie Arsemnalitambua hilo.
Hivi hamis 77 amepotelea wapi?
Jamaa hua namkubali sana yule, kama wiki inafika sijamuona humu.
Kwenye mechi kubwa kama za leo sio kawaida yake kabisa kukosena kwenye hili jukwaa.
Jesus kuna rafu 2 alicheza zilikua za kula njano kabisa ila refa aliamua kupotezea.Ukiacha ushindi, mambo mengine yaliyonipa furaha leo ni kuona Jesus amemaliza bila ya yellow card na Partey amemaliza akiwa salama.
Sasa tunaweza kuwakaribisha Liverpool kwenye uwanja wetu wa ndege.
Ile ilikuwa dangerous play, ndio maana hata var hawakwenda cz ilikuwa lazima redJesus kuna rafu 2 alicheza zilikua za kula njano kabisa ila refa aliamua kupotezea.
Ila ile direct red card ya Emerson Royal ilikuwa ni uonevu, refa kwa makusudi kabisa aliamua kuua tu hii game.
Atakosa WC Qatar, Brazil huwa hawarembi.Martinel ameanza kucheza ki father