Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ten hagg Hana uwezo waku dominate mpira , ukiacha magoli ya kaunta ,pale kwenu Arsenal tulitawala mpira kwa kiwango kikubwaErik ten Hag
FACT mimi naamini Manchester United alituotea sababu ya Partey kutokuwepo uwanjani it's very painful sawa kulose sio tatizo ila tatizo tulifungwa na Manchester UnitedNaamini jamaa hatarudia tena haya madai ya LOW IQ maana Kila mtu anamshangaa
Nilimshauri Arteta mapema na amefanyia ushauri wangu kazi.Xhaka sio DM hata siku moja hayo majukumu yamemkuta Arsenal baada ya injury crisis ya Coquelin na Cazorla but mainly Coquelin! Wenger akaanza mtumia kama mkabaji.
Xhaka ni natural CMF na 90 Altena AMF utaweza kuona akiwa Borussia Mönchengladbach akicheza nusu nusu as CM na AM, kutoka maktaba yangu inaonekana aliwahi wasumbua sana Chelsea akishirikiana na Thorgan Hazard yeye akiwa AM.
Back to Suisse Team utaweza kuona Xhaka akicheza as CM na different occasions as AM nyuma yake akiwepo jini mnyonya damu Behrami anayesimama kama DM, kutoka maktaba Xhaka amewahi wasumbua sana France hasa Pogba kupelekea kuchaniwa jezi mbili na jezi ya tatu kutatuka sehemu ndogo. Same amewasumbua Germany na Brasil waliosheheni wachezaji hakika.
Ujio wa Partey if it's real! Xhaka tutazidi kumuelewa maana atakuwa free kuonesha majaliwa na hapa Arteta aki-compile Partey lower na Xhaka x Paella frontier basi ni msimu mzuri wa Lacazatte na muendelezo wa Aubameyang!.
Xhaka huwa simlaumu maana namfahamu deep katika uchezaji anatumikia jukumu lisilo lake even bit about his family, sio Nketiah striker naturally unapokea open chances 5 hutumii hata moja.
Nakubali mkuu, namuona Xhaka akiwa legend taratibu. Nasikia pia anachukua leseni ya ukocha maybe anaweza kurudi Arsenal kama kocha baadae.
Nileteeni Luiz & Tielemans niwape UEFA mwakani
- Leandro Trossard
- Evan N’Dicka
- Youri Tielemans
- Douglas Luiz
All free agents next summer. All linked with Arsenal in the past.
Aahaah! kuna utofauti gani wa Conte na Mourinho? Timu muda wote imekaa nyuma, tactic ni kupiga ndefu kwa Son/ Kane /RicharlisonTottenham play like Burnley but with Kane up front instead of Barnes
Ebana alikuwa kayakanyaga trh 19 mwezi huu, unfortunately mechi imehairishwa.Ambae hajafungwa mpaka sasa ni City, ambae tunaenda kumkalisha akiyakanyaga.
Hiyo cha mtoto game na Brentford toka mpira uanze mpaka inakaribia dk ya 2 walikuwa hawajagusa boli kisha tukawakosa goli, martineli alikosa, angefunga ilikuwa ni balaa.Kabla ya lile goal la partey zilipigwa pasi 21 naisi kama wenger yuko nyuma ya pazia pale arsenal ni awataki kutuweka wazi
Tusimpuuze city kiasi hicho...Ambae hajafungwa mpaka sasa ni City, ambae tunaenda kumkalisha akiyakanyaga.