Geaz nenula
New Member
- Jun 4, 2020
- 4
- 10
ok hv ww huwa hujiuliz historia ya arsenal tmu nyng epl zkiongoza had Christmas huwa znabeba kombe ila arsenal ww umeongoza mara nyng sana Christmas na kombe hujabeba na sahv umeshnda mech hz ngap unajiona mwamba umesahu ulishaongoza league had pasaka na kombe hukuchukua ila kumbuka huyo chelsea unayemsema ametoka kuchukua kombe la UEFA msimu mmoja nyumaNdio maana nikakuambia Chelsea ni kama mgonjwa wa kichaa
Huwa hakiponi, kinatulia tu
Chelsea kupata matokeo mabovu ni wakati wowote na muda wowote
Ngolo, umri unamtupa na injuries zinamsumbua
Forwards line ya Chelsea inakamatika vizuri sana
Yan, sterling, mount, kai, pulisic,
Hao hautumii nguvu wala akili kuwadhibiti
Sterling anahitaji nafasi 5 ashinde moja
Arsenal tulipoishia, ndio tunapoendelezea
Arsenal akiwasha moto huwa anawasha kweli, hapa tunawaangalia wapinzani wetu tu
Currently ni city peke yake
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app