Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie Arse8 bado mmelala mna raha gn? Mmeshinda mechi mbili kwa kuwafunga mafunyense mkaanza kujazana ujinga humu, mbn hamuongei sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe na yeye nani hana akili sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Taarifa: Arsenal anaenda kulipiza kisasi cha 2011.. FT MU 0 Ars 9.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mpaka leo unasubiri nini kufuta huu ujinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nafikiri amemaanisha hauna akili kwa hiyo hoja ya kipimbi ya kudai Arsenal kacheza na vibonde.

Kati ya hivyo vibonde unavyovisema viwili vimemnyima point Liva.

Of course HUNA AKILI
Nyie mashabiki wa Arse8 ndio hamna akili, timu haijawahi kuchukua EPL tangu mtoto anazaliwa mpk ameoa sasa lkn bado mpo tu na huu upuuzi wenu, HAMNA AKILI.
 
ARSENAL kurudi nafasi yake ya 6 kila mwaka, yaani ni suala la muda tu.
 
Naona uzi umerudi kwenye default mode ya ku cease, mliposhinda vimechi viwili dhidi ya timu dhaifu mlikuwa kila mda mnajiliwaza humu eti mna timu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona mmejazana humu kuleta porojo kibao.. na inashangaza baadhi ya mashabiki wa arsenal kusema timu ni mbovu na usajili haukuwa mzuri..

Arsenal kafungwa kawaida katika hali ya mchezo na hakuna sababu yoyote ya kuogopa sana. Timu ilijisahau na kuwa too aggressive baada ya kusawazisha goli na matokeo yake kaunta attack zikawezekana.

Kama Magalhanes na saliba wangekuwa wanabaki pale kabla ya circle ya katikati upande wao wala timu isingepoteza. Ni somo zuri wamepata na sasa tusonge mbele.

Matokeo ya mechi yanaweza kuwa yoyote kwenye zile game ngumu kama city, liva na tot.. apart from that sioni arsenal akipoteza point any time soon.

Ubingwa wa epl uko palepale emirates..🔥🔥🔥
 
Utasubiri mpk uzeeke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie sikilizeni ushauri wa computerarsenal kila siku anawaambia timu yenu mbovu miaka nenda rudi hamsikii, mnajipa stress za bure kabisa. We angalia Man u huwa tunalalamika lkn usajili huwa unaonekana ni wa kueleweka, sasa nyie kila siku mnachukua vitoto mnavipandisha alafu vikiiva vinaondoka, unajua kwnn? Ni kwasababu Arse8 ni timu ndogo kama unavyoona Crystal palace, Wolves, Birmingham au West Ham.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…