Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1




2




3

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kocha wa makocha, kocha anayejua kazi yake, kocha mwenye vision, kocha aliyeibadili man u kuwa timu Bora duniani kwa wiki moja [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona nzi wamejaa kwa jukwaa la washing bunduki.
 
Ndio nini sasa hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Weka msimamo na wachezaji wako bora tuone

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwn ligi imeisha? Kwani arse8 imeanza leo kuongoza ligi mwanzoni mwa msimu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo tulivyokuwa tunawatindua last season ulikuwa unashangaa eeehhh....weka kapicha tukuone ulivyokuwa unashangaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo misimu yote tunawapiga haina maana ila wenye maana ni msimu mmoja tu au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuache masihara Arsenal ni watamu jamani, kitu mnato halafu ya motoooooo[emoji39][emoji39][emoji39]
Kama yule Xhaka, Oodegaard na Saka watamu sana πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Angalao wewe akili kubwa kuliko arse8 woote, mpaka kakocha kenu kale kanarukaruka kama kwaya master. Hao miamba umetaja hapo wanatingisha dunia na hata unahodha msaidizi hawapati. Kwako hapo Γ’odegard aliwahi kucheza mpira wa maana wapi mpaka umpe unahodha? Pale Man U kuna paund Mil 90 kama 3 hivi haziwezi kupata unahonda na wanaanzia benchi.
 
Naona umerudi upyaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Arse8 wana masihara sana eti wanataka kombe alafu kiungo Odergaard, forward Saka na wanajiona wana timu eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…