Kwani Liver hakuchezea juzi tu hapa! Au ulikuwa hujazaliwaTimu gani linapigwa hadi na Nyumbu?
Timu la mchongo hili.
Wewe takataka ulisemaje wewe mbona bado upoUnateseka ukiwa wapi mkuu?
Weka msimamo wa ligi muda huu then ndio uanze kutoa hii uharo wako hapa
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Acha kulia lia na shot on target zenu 2Kama refa angekuwa fair yule mbilikimo wenu asingemaliza game,then lile maguire lilishasababisha tuta ...mbeleko imewasaidia....na goli halali mmekataa mtakuja magetoni
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
How is it going down there?
BTW, Mimi ni shabiki wa Man U mkuuUpo sahihi kabisa, top six ina mechi kama kumi hivi home-away. Basi tuwe na 50% wins, 30%loss na 20%draws. Tukifikia stage hii naamini tunakuwa mabingwa watarajiwa.
Ndio na nyie mfungwe sasa?Kwani Liver hakuchezea juzi tu hapa! Au ulikuwa hujazaliwa
Ni Kawaida Mkuu ukiwa unacheza na timu unaona kama muda wote wamebana,wanataka kuwafunga.BTW, Mimi ni shabiki wa Man U mkuu
Kinachonishangaza mm ni kuona baadhi ya mashabiki wa Arsenal wanalalamika mapema ivii. Yani timu ina structure kabisa with and without the ball. Timu ina press vzr, wachezaji wanacheza for a purpose wakiwa wanajiamini...
Every time Arsenal have the ball, unakuwa unahisi something is going to happen! Na bado watu wanalalama
Hivi kuna mtu anakumbuka Man U ilivokuwa wakati wa Ralf Rangnick. Ile kitu imenifunza ku appreciate progress siyo kulalamika au kuwa na expectations ambazo ni unrealistic.
.Timu gani ambayo haifungwi?usiwe zuzu kupitiliza,hayo ndio matokeo ya football,
Man city wenyewe ambao ni bingwa watetezi walishapigwa na ubingwa wakachukua....sasa iweje kwa ARSENAL iwe ni big deal?au mlikuwa mnaogopa kurudi kwa UNBEATEN ERA hahahahahahaha acheni chuki..
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Bahati imeamua? Magoli yote mmefungwa kwa mtindo mmoja utasemaje bahati iliamua? Pale mlizidiwa mbinu mzee, magoli yote matatu hakuna hata moja la kubahatisha (yamesukwa kabisa).Sasa kama anatawala possesion why uwaunderrate viungo wa arsenal?wakati mpira wametawala na bahati imeamua
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwa dhulma ile hapana nina kila sababu ya kutembea kifua mbele na ARSENAL YANGU
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mkuu tuache tusherehekee mbio za mwenge, humu tuliaminishwa mwaka huu mwenge hauvuki kijiji.Wazee inatosha sasa Jukwaa limevamiwa hili inatosha let's focus katika game ijayo Vs Everton
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hamna timu ya kucheza match kubwa takataka nyinyi...uchawi sio lazima kuvua nguo mkuu.endelea kuwanga na sisi tunaongeza maombi ili tuzidi kaa kileleni
Weka takwimu tumewazidi kila kitu nyumbuAcha kulia lia na shot on target zenu 2
Wacha uwongo labda kama kuna mechi nyingine ulikuwa unaangaliaBahati imeamua? Magoli yote mmefungwa kwa mtindo mmoja utasemaje bahati iliamua? Pale mlizidiwa mbinu mzee, magoli yote matatu hakuna hata moja la kubahatisha (yamesukwa kabisa).
Ajipige ban mwenyewe kabla hatujamuwashia moto.
Tulicheza mpira wa akili zaidi yenu pia tuna wachezaji bora zaidi yenu, kubali kushindwa.Weka takwimu tumewazidi kila kitu nyumbu
Kwani wewe tulikufanya nini??Timu gani linapigwa hadi na Nyumbu?
Timu la mchongo hili.