Mpira tuliutawala kwa kiasi kikubwa nini hoja yako?tulifunga goli halali wakakataa nini hoja yako,Nilitazama mechi mkuu.
Xhaka na Odegaard kiushauri sio wa kusema una midfielders wa kupambana na Club vigogo
Fikiria kipindi Real Madrid Modric ana umri wa miaka ishirini na kitu hapo hapo yupo na Kroos ,hali kadhalika Barca kipindi Xavi ,Iniesta na Busquets wana miaka ishirini na kitu leo hii Arsenal inategemea Xhaka na Odegaard wakiwa wanaanza kwa pamoja
Wewe una kidonda tayari game ya mwisho tumekukojolea 4 so kaa kwa kutuliaUtakifahamu jina match day ya Chelsea vs arsenyeto
Kwa muda. Na hiyo nafasi ya kwanza mpaka ya tano point zilivyo banana usijipe hopes sana
Weka msimamo acha ngenga alafu ubold nafasi yakoHawatafika kokote hao yaani kelele kibao saizi wamewazidi Man U points 3, hapo kama wako sawa na Man U tu,muda wowote kibao kina badilika.
Hao wengine Vipi walioposhana point moja?
Always arsenal anatawala possesion akicheza na man u. Lakin kuna weakness moja ambayo arsernal miaka nenda miaka rudi hamuofanyii kazi.. mko so exposed kwa counter attack.Mpira tuliutawala kwa kiasi kikubwa nini hoja yako?tulifunga goli halali wakakataa nini hoja yako,
Saka alikwatuliwa ktk penat box,nketia alichezewa rafu kwenye penat box zote zilikuwa tuta ,nini hoja yako....refa angekuwa fair nyumbu angekufa 4 sema mbeleko na bahati iliwabeba
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Mbona timu yako haipo hata top 5 kabsmumewabutua vibonde hawa hapa chini mkafura kichwa eti mna timu, tukiwaambiaga hapo hakuna timu ni academy mnakasirika, wakisha komaa vizuri mnawafanyia sendoff ili waende kuwatumikia wanaume
- C. Palace nafasi ya 15
- LCFC nafasi ya 20
- Bonamouth nafasi ya 13
- Fulam nafasi ya 10
- Aston Villa nafasi ya 17
Sasa kama anatawala possesion why uwaunderrate viungo wa arsenal?wakati mpira wametawala na bahati imeamuaAlways arsenal anatawala possesion akicheza na man u. Lakin kuna weakness moja ambayo arsernal miaka nenda miaka rudi hamuofanyii kazi.. mko so exposed kwa counter attack.
Na hapa man u ndipo wanawawezea
Tunaongelea sasa...hayo ya baadae Mungu ndio anajua labda kama unapiga ramliKwa muda. Na hiyo nafasi ya kwanza mpaka ya tano point zilivyo banana usijipe hopes sana
Kwa dhulma ile hapana nina kila sababu ya kutembea kifua mbele na ARSENAL YANGU
Offpoint, mliwafunga vibonde wa EPL tu kama nimesema uongo nikosea kutokea hapo, Chelsea imeingiaje hapoMbona timu yako haipo hata top 5 kabs
Mumewshikia wanaume nafasi zao, acha ngebe kijana
Wewe si umesema ukimgonga man u uingii humu jamiiforum sasa hapa unafanya nini
Haha dogo it takes more than possesion kupata bao.Sasa kama anatawala possesion why uwaunderrate viungo wa arsenal?wakati mpira wametawala na bahati imeamua
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwani ligi imeisha?Mbona timu yako haipo hata top 5 kabs
Unajisifia kukaa kwa muda au ?Tunaongelea sasa...hayo ya baadae Mungu ndio anajua labda kama unapiga ramli
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Ni gap LA point 1 tu kati ya arsenal na city-&spursUnajisifia kukaa kwa muda au ?
Angalia table mtu wa pili mpaka wa tatu mmeacha point moja. Halaf ni city na tot nafasi zifuatazo mmewaacha point mbili.
Do you realy think mta last? Kwa epl hii?
Mfano mzuri kipindi Cha kocha Sarri ndani ya Chelseafc tulipigwa goal 4 bila na bournemouth tukiwa tuna possession ya 84 kwa 16 hata manyumbu walitupiga goals 2 tukiwa na possession ya 70 kwa 30Haha dogo it takes more than possesion kupata bao.
Hakuna mahali ni wa underrate viungo wa arsenal. Ili kimbinu bado sana
Possesion haikupi point, kucheza vizur hakukupi point, magoli tu