Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hii team yenu hamtaweza kutoboa mbele ya Tottenham, Man City home and away games.
ni maoni yako mkuu na lazima yaheshimiwa.chochote ,mahali popote na muda wowote na kwa timu yoyote kinaweza tokea mkuu
 
Tuwe tu wakweli Arsenal hana kikosi cha kusumbua top 5 teams sijui kama Conte mtamfunga na Chelsea wameleta Auba sasa
Arsenal akitoa sare mechi hizo yatosha lakini si kupoteza.

Hizi mechi zaendana na mbinu ukiwa wajipanga kimbinu hakuna mechi ngumu.

Ndo maana nasema msimu huu ni tofauti na hakuna alietarajia Liverpool na Manchester City kupoteza points mapema.

Arsenal leo alitawala asilimia 60 ya mechi na bado kafungwa, hivyo ni mbinu tu.

Vilevile hakuna alietarajia timu kama Brighton leo kushika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi baada ya mechi 6.

Na hakuna alietarajia timu kama Leicester City kushika mkia leo baada ya mechi 6.
 
tatizo watu wanakariri kuna siku ligi hii itawashangaza watu.
 
Mimi nilitaka nishangae yaani gardiola akuuzie mchezaji Kama Ni mzuri?,,kawapa Jesus alijua hamna kitu mle
. Bikra out bikra out
 
Wewe ndo mshabiki wa arsenal pekee ambaye sio mnafiki. Nyeusi ni nyeusi toka nwanzo wa ligi mpaka mwisho japo washabiki wenzio HAWAKUELEWI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…