Tupo pamoja mkuuuna hoja mkuu.na hili kuna namna limetugharimu kiasi chake.ila linafanyiwa kazi.mpira ni structure na inatengenezwq
ndo maana ya kuwa na option mkuu.tuko kwenye mashindano manne mkuu,kuna kitu kinaitwa utilization of resources.vieira na ode wote wana nafasi kulingana mashindano na kikosi tulichonachoOde hakuna na kitu kipya tena leo naweza kusema ndo katukosesha ushindi, kuna eneo la kushoot ndan ya 18 anatoa pasi za ovyo ovyo, kwa jinsi alivyoingia Viera na kucheza vile Ode ajiangalie sana
kwani tofauti ya bingwa na mshindi wa pili ilikuwa ngapi kwa msimu uliopita.
wameshinda mechi 5 mkuuManchester united wana kocha mzuri na mwenye mbinu,tatizo la Arsenal bado ni ubahili mkuu,hatuna wachezaji wa kushindana na timu hata hivyo wanajitahidi sana
Pambana huko nyuma unateseka, Bournemouth are 2 points behind.Hawatafika kokote hao yaani kelele kibao saizi wamewazidi Man U points 3, hapo kama wako sawa na Man U tu,muda wowote kibao kina badilika.
Hao wengine Vipi walioposhana point moja?
kunywa maji ya baridi punguza makasirikoNani awe na uadui na kitimu midtable wewe ?! Tatizo kidomo Domo kimewaponza.
Dhidi ya team dhaifu, tangu lini wewe sio team dhaifu hapo EPL?wanajisahau mno hawa mamluki wanaokuja kutunanga japo tumepoteza dhidi ya timudhaifu
Mkuu, Arsenal ni leo tu kapoteza mechi moja tena ugenini.Taratibu mnarudi kwenye default settings yenu
Uwezi kuonyesha uwamba mbele ya Man utd.Tunaongeaga sana tuzibwe mdomo sasa team bado hii sana haya leo vs Top 6 team for the first time EPL tumepigwa goal 3 hatuna team ya competition kabisa beki uchochoro bado Halaand nae copy kwa Aaron Arsenal mkorea @hamisi77 game kama hizi unatakiwa uonyeshe umwamba wako
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
KibondeKwahiyo tunakubaliana kwamba tulitakiwa. Kusajili au bado
asipokuelewa hapa basi nyoosha mikono.ubora wa iniesta ulitokana na ubora wa ( busikweti ) na xavi.mpira ni mfumo kukitokea kosa kwwnye mfumo individuality inaweza isionekana hasa kwa timu kama arsenal,city na barcaOdegaard akiwa fit ni mchezaji mzuri na ndie aliisaida sana Arsenal mechi tano za kwanza.
yeye ni Creator na hufungua vyumba sana.
Ila leo kachezeshwa tu bado hayupo fit.
dah utoto raha saanaAser8 akicheza mashabiki wake duniani kote, wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowo wakisema chukua yote yako.
underworld awakeningAmepigwa mtu kama ngoma..
London cry babies..
Kwa hii team yenu hamtaweza kutoboa mbele ya Tottenham, Man City home and away games.piga ramli tu mkuu ila utashangaa,haya matokeo yametupa msaada mkubwa mno kwenye aproach ya game zinazofuata
kweli mkuu?Kuna watu lazima wahame mjengo humu.
remind them mkuu,It's lonely at the top.