ulitazama mech mkuu?Midfield weka Lokonga,Smith Rowe na Mohammed El neny hapo utashinda
Yaani Leo Man Utd wamewashinda kwa Midfield yao ya Eriksen Na McTominay?!! Odegaard na Xhaka ni squad players bench warmers usitegemee kushindana katika big match kwa midfield umeweka Mctominay na Odegaard
kwani tofauti ya bingwa na mshindi wa pili ilikuwa ngapi kwa msimu uliopita.Wanaona aibu sasa hivi yaani wamepishana points 3 tu Man U.
Sasa hivi Hawana tena jeuri ya ubingwa tofauti ya points 3 dhidi ya Man U unasemaje unachukua ubingwa hizo timu za katikati vipi?
Haya mmenyukwa punguzeni mdomo... Mnaongea sana kama Chuchunge.Who cares?
uchawi sio lazima kuvua nguo mkuu.endelea kuwanga na sisi tunaongeza maombi ili tuzidi kaa kileleniHaya mmenyukwa punguzeni mdomo... Mnaongea sana kama Chuchunge.
Watu wamesahau Arsenal ilifunga goli na kama lingesimama hadithi ingekuwa ingine.kwangu mimi haya ni matokeo kama matokeo mengine.yaani kufungwa na man u niamini nna kikosi kibaya?!!!.big no
hichi kichekesho chako kinaitwaje mkuu,kwa baridi na joto we are gunnersSafari ya kurudi kwenye namba yenu imeanza rasmi
Unataka jibu lipi wakati results ni zile zile every season vs top 6 hata Wenger alikuwa anamiliki mpira na anafungwa so unataka nikujibu nini?game ya leo dunia nzima ilikuwa inasubiri kama kuna changes but hakuna changes so tuseme nini?tumezoea kutake L kwenye games za top 6 hasa away games sina la kukujibusitaki kuwa personal,hivi unafahamu tofauti ya shabiki na mpenz wa mpira kweli?
Nani alijitangaza mabingwa?Tena tunakuja kuchukia haraka maana hawana nidhamu Hawa wahaini.mechi 5 wanajitangaza mabingwa
yes hasa unapocheza na timu kama man u halafu ukadhulumiwa kuna namna wachezaji wanakata tamaaWatu wamesahau Arsenal ilifunga goli na kama lingesimama hadithi iungekuwa ingine.
Ligi ya msimu huu ndo ligi khasa maana kila timu haitaki upuuzi.
Ila Arsenal wanatakiwa wawe wanamaliza game mapema pale wanaposhambulia kwa kupiga goli mbili za kushtukiza kisha wacheza kawaida.
kwako changes ni kuifunga man u pekee?Unataka jibu lipi wakati results ni zile zile every season hata Wenger alikuwa anamiliki mpira na anafungwa so unataka nikujibu nini?game ya leo dunia nzima ilikuwa inasubiri kama kuna changes but hakuna changes so tuseme nini?tumezoea kutake L kwenye games za top 6 hasa away games sina la kukujibu
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kwamba mtaendelea kuongoza ligi baada ya mechi 3, unaijua ratiba yako lakini?sema tawile kwa kisukuma mkuu.amka acha kuota
piga ramli tu mkuu ila utashangaa,haya matokeo yametupa msaada mkubwa mno kwenye aproach ya game zinazofuataKwamba mtaendelea kuongoza ligi baada ya mechi 3, unaijua ratiba yako lakini?