Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kwangu haya matokeo yanafaida japo tumepoteza point tatu.kuna namna tumekuwa exposed na hilo kocha atalifanyia kaz
 
Yaani kuongoza ligi kwa points 3 dhidi ya Man U ni kama mko sawa ndio yale yale ya Chelsea msimu uliopita ni swala la muda tu mtatoka hapo juu na mtapoteza kujiamini maana wachezaji wenu wengi ni watoto.
Ndivyo ligi ilivyo, wengi tulifahamu kuwa matokeo ya leo yaliigemea zaidi Manchester United.

Lakin huo ndo mpira na Arsenal ni timu pekee ambayo ilikuwa haijapoteza game.

Hivyo twaendelea na ligi next Everton jumapili, at home Emirates tutapata nafasi ya kuongeza points at the summit.
 
na kuna mtu atadondosha point
 
Wapenzi wa Arsenal twaamini safari hii lazima timu faulu kucheza CL.

Hiyo ya Ubingwa si priority kwani ni mapema mno kuzungumzia ubingwa.

Ubingwa huangaliwa baada ya 20 games.
wanajisahau mno hawa mamluki wanaokuja kutunanga japo tumepoteza dhidi ya timudhaifu
 
Midfield weka Lokonga,Smith Rowe na Mohammed El neny hapo utashinda

Yaani Leo Man Utd wamewashinda kwa Midfield yao ya Eriksen Na McTominay?!! Odegaard na Xhaka ni squad players bench warmers usitegemee kushindana katika big match kwa midfield umeweka Mctominay na Odegaard
 
Mnatakiwa muijue nafasi yenu, sio mnaanza ligi na vitimu vya kijinga halafu mnavimba vichwa.

Wanaona aibu sasa hivi yaani wamepishana points 3 tu Man U.

Sasa hivi Hawana tena jeuri ya ubingwa tofauti ya points 3 dhidi ya Man U unasemaje unachukua ubingwa hizo timu za katikati vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…