Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Auba na cr7 kwa kipindi hiki wametofautiana rangi tu

Ila hao wote ni virus.

Nikukumbushe tu
Auba ni secret agent wa arsenal katika kuibomoa chelshit
Utakuaje secret agent kwenye team ya makombe? huyu kaja kwaajili ya kushinda mataji
 
Mbona mapema yote hii mshaanza kulalamika
 
Mkuu inabidi upewe doctor ya heshima
 
Basi huyu tutamchukua bure, mwishoni mwa msimu mkataba wake ukiisha

Inamaana jana tungepigwe double impact kama movie ya van dame
Ni kichaa angekubali hilo dili
 
Hadi tareh 1 October. Game na spurs

Partey atakua kwenye fitness nzuri, zinchenko
 
From next summer, if you’re coming for any Arsenal player, be ready to pay good money. We’ve cleared the “deadwoods”. If you want Saliba, £150M. If you want Gabriel, £100M. If you want Saka, £200M. If you want Ødegaard, £170M. If you want Ramsdale, £100M. We ain’t joking anymore.
 
Manjestaa nipigieni hizi takataka ..vidomo domo fc .. arse8 Hawa wanaongea Sana ..kuongoza ligi kwa siku chache tu hizi washajiona wao mabingwa hahaha amaa kweli masikini akipata matako hilia mbwata.
 
Manjestaa nipigieni hizi takataka ..vidomo domo fc .. arse8 Hawa wanaongea Sana ..kuongoza ligi kwa siku chache tu hizi washajiona wao mabingwa hahaha amaa kweli masikini akipata matako hilia mbwata.
Olashoga utapigwa wewe na mabwana zako nyumbu wanaokutuma

Timu lako limejaza wazee subiri leo linapigwa na westham

Halafu Tuone utapata wap nguvu yakuja humu
 
Nani aje kununua matakataka
 
Nyie matakataka Leo mnakaribishwa kushuhudia namna bingwa anavyotakiwa kuwa mnamo majira ya 19:30....na nasikitika kuwaambia kuwa Leo ndio Siku yenu ya mwisho kuongoza ligi maana baba mwenye nyumba anarejea kwaiyo wapangaji mkae kwa kutulia
 
Arteta (recent record at old Trafford)

“I wouldn’t like any of our players feeling that way because they’re good enough to go there and win the match and I think we have the belief that can happen. If not, it’s better to stay at home.”
 
Nyie matakataka Leo mnakaribishwa kushuhudia namna bingwa anavyotakiwa kuwa mnamo majira ya 19:30....na nasikitika kuwaambia kuwa Leo ndio Siku yenu ya mwisho kuongoza ligi maana baba mwenye nyumba anarejea kwaiyo wapangaji mkae kwa kutulia
Baba mzima una nywele had makalioni ,unashabikia mancity ,Kuna namna watu waku ignore ,Kuna fyuzi hazipo sawa
 
Sio heshima kumfananisha Lokonga na Partey kwenye uwezo.Basi tu majeruhi ila Lokobga sio mbadala wa partey.

Timu ikiwa kwenye form ni kawaida kumuona kila mchezaji ni mzuri,hii mbaya sana.Na hii isimdanganye Arteta akarelax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…