Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal tunayo quality, City anatuzidi depth, tuna nafasi nne tu zinazohitaji either rotation or upgrade, LCB, RW, LCM, #6.
 
hamis77 mbona haonekani humu hizi siku mbili tatu au ndio presha ya kipigo cha mbwa mwizi atachokutana nacho jumapili imemkimbiza?
Katika mashabiki wa Arsenal wanaojielewa na ninaowakubali humu ndani ni hamis77 pamoja na computerarsenal
Hawa jamaa kwa ukubwa wa IQ zao hawakupaswa kabisa kushabiki hili litimu la mchongo, sijui nini kiliwakuta mpaka wakaangukia humu kwenye fungu la kukosa.
 
Skizeni nyie takataka ..Nani ayiogopi Chelsea? Mumeona usajili tulofanya? Hahahaha nacheka uku naogopa. Maana tunaenda kumwaga damu EPL ...hahaha mutupe kombe letu Yani 😂😂😂🤣
 
Auba na cr7 kwa kipindi hiki wametofautiana rangi tu

Ila hao wote ni virus.

Nikukumbushe tu
Auba ni secret agent wa arsenal katika kuibomoa chelshit
Cheki hii takataka kitu inaandika. Hahaha huyiogopi Chelsea wewe?
 
Oyaaa mtuachie iyo nafasi yetu maana tutakuja kwa Kasi yaa mwanga achana na sisi ..nyie tafuteni pa kujificha maana huu usajili Ni tishio ..tutaleta misiba kila mahala..hahahaha
 
Club Expenditure Income Net spend
Chelsea £253.79m £49.32m -£204.47m
Man Unit £214.22m £10.35m -£203.87m
West Ham £163.80m £16.02m -£147.78m
Notts F. £145.76m £6.30m -£139.46m
Newcastle £122.40m — -£122.40m
Tottenham £152.91m £34.88m -£118.04m
Arsenal £118.86m £21.42m -£97.44m
Wolves £122.94m £51.39m -£71.55m
Southam. £59.76m. — -£59.76m
Brentford £45.45m £3.24m -£42.21m
Fulham £55.26m £18.81m -£36.45m
Everton £78.48m £52.20m -£26.28m
Crystal Pa. £31.14m £4.91m -£26.23m
Aston Villa £63.0m £37.80m -£25.20m
Bournemouth £24.21m — -£24.21m
Liverpool £81.27m £72.63m -£8.64m
Leeds United £99.13m £97.38m -£1.75m
Man City £125.55m £143.91m +£18.36m
Leicester £15.30m £73.26m +£57.96m
Brighton £43.02m £102.51m +£59.49m

Soma hiyo breakdown ujue kila timu imetumia na kupata kiasi gani katika dirisha ili 2022 and where is a brainier
 

Pongezi ziwaendee Brighton. Wana positive net income kubwa na wanafanya vizuri kwenye ligi siyo hayo mavi ya darajani
 
Pongezi ziwaendee Brighton. Wana positive net income kubwa na wanafanya vizuri kwenye ligi siyo hayo mavi ya darajani
Cheki hili mavi kunuka unaropoka ropoka tu jamaa hauna akili ..subiri tuwazibue mitaro kwanza mupate akili..Sisi ndio Chelsea
 
Nashindwa elewa Aaron Arsenal anawaza nini anavyosema ni sahihi hatujasajili.

Partey anaumia tunapoteza games.

Tushajua tunahitaji kiungo.

Dirisha limefika. Hatujasajili.

Na Aaron anaona ni sahihi simply kwakua wao wanajua wanachofanya?


Kocha ilibidi ajue target ni nani na akifeli option B ni nani. Hii ndiyo logic. Tumeingia kwenye dirisha hatujaaddress sehemu ya msingi lakini Aaron anaona sahihi?
 

Ukisoma post nyingi za Aaron Arsenal utagundua he is overzealous, kwa hiyo tumuelewe hivyo na tumuache alivyo
 
Cheki hili mavi kunuka unaropoka ropoka tu jamaa hauna akili ..subiri tuwazibue mitaro kwanza mupate akili..Sisi ndio Chelsea

Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo. Let me advise you plus other idiots, mnapokuja kwenye jukwaa la Arsenal mtulie msome na kujifunza mambo mengi. Kwa sababu humu kuna wachambuzi wenye upeo mkubwa wa maswala mbali mbali yanayohusu football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…