Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] AsaniWali mnapenda sana kujifariji na tetesi za michongo.Za ndani kabisa had jion Douglas Luiz atakuwa mchezaji wa arsenal
Astonvilla wameshapata mbadala wake
Jana alipofunga goli hakushangilia , Jana aliongea na Edu na Jesus , kifupi Dili liliisha Jana ,now Arsenal wanamalizana na astonvilla muda sio mrefu
Leander Dendoncker to Aston Villa, done deal and here we go. £13m fee agreed, medical in the afternoon. First call @SamiMokbel81_DM. [emoji599][emoji837] #AVFC #DeadlineDay
Personal terms are now agreed too. https://t.co/vNLi2QZHxJ
Unaonekana huwapendi sana nyumbu kama mimi nilivyo siipendi Cheltako.[emoji1787]Mwenge hauruki kijiji mkuu
J2 nyumbu ana fimbo zake 4
Ukiachana na hizi za leo kutoka kwa Leicester city
Source?Deal done for Douglas Luiz
Inakuja mkuu subiriSource?
Zuchu una mbwe mbwePoints za timu yako zidisha mara mbili, kama bado hamtufikii
Kaa kwa kutulia binti
Mkuu kuwa na adabu inaitwa Chelsea sio cheltako mabingwa wa duniaUnaonekana huwapendi sana nyumbu kama mimi nilivyo siipendi Cheltako.[emoji1787]
Dili limeshakufa hili wametukazia.Dah, Villa ndo wamegoma kabisa!
Kikowapi[emoji1787][emoji1787]Upo dunia ipi ndugu?
Arsenal wanamsubiri Tieleman January au summer Bure
Hadi muda huu Arsenal wapo kumalizana na Astonvilla kwa Luiz anacheza 6 na 8 Ni replacement ya Partey