Tuweke record sawa toka amefika arsenal kafanya makosa Kama hayo mangapi?katika mechi ngapi
Je beki gan hakosei? Dias pale city amefanya makosa Kama hayo Sana ,beki gan hajawahi kuchoma? Nataka kujua Magalhaes kakosea makosa Kama hayo mangapi ?ili tujue Ni kawaida, Kama beki anacheza game 10 ,anakosea mechi 1 ,sio tatizo ,Kuna mabeki Kama mustafi, magwaya, n.k hao mech after mech wanakuchoma
Magalhaes alifanya vzr France aliingia Hadi kikos Bora Cha msimu,
Saliba ndio msimu wakwanza huu akiwa arsenal