Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manchester city the Greatest come back machine in the world [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Will Jr
Mpira unaosema ku hold, kupunguza pressure. Ndio anaucheza elneny lakini ushambuliaji kumepoa sana

Leo hatuna pressure
Tumewadhibit vizuri

Lakini attacking force ni ndogo sana,

Leo tupambane tupate hizo point 3
 
Hivi huyu Jesus aka (Yesu) mbona kama anacheza pembeni zaidi Leo au mi sijaelewa naona kosakosa nyingi tuu[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Tuwe wakweli.

Siyo kwamba Partey anahitajika? A guy ambaye Will anaamini ana low iq?
 
Kigagula fc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yanapelekewa moto kubwa jinga la wiki [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom