Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
Hawa Blackburn hawana creativity lol!!
Jamaa karibia awatoe, kashindwa kuunyanyua mpira kidogo?Safi sasa, Chamakh anaweza kututoa kwa goli la kichwa .
Inasikitisha sana, bye bye kikombeeee.
Vp gunners!!..naona imekuwa suluhu mechi!
What a weekend, Football Gods wamesikia sala zangu leo, nimeomba mtoe draw na kweli imetimia.
Ngoha nikawaangalie Milan(s) sasa.
Oo no AW, ndio mmekikosa hivyooo?!..pole!! mzima lakini??
What a weekend, Football Gods wamesikia sala zangu leo, nimeomba mtoe draw na kweli imetimia.
Ngoha nikawaangalie Milan(s) sasa.