Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Midfielders wengi wa kiafrika wanavipaji ila wanalack Football IQ, wamekosa tactical education toka walivyokuwa wadogo cuz wamekuwa kwenye mipira ya mitaani, ni wachache wamepata bahati ya kuunderstand game mentally, huwezi kucompare na midfielders wa kiespaniola waliokuzwa kwenye Academy kama La masia etc. Hii kwangu naona ni sababu inayomfanya Pep Guardiola kuwaepuka sana wachezaji hawa.

Partey kwa kipaji alichonacho angekuwa the World Class midfielder kama angekuzwa na Pep Guardiola, unfortunately amekuzwa na Diego simeon, so sishangai the reason why yupo so aggressive.

Ebu mcheki Tchouameni, amecost €100m but he is a low IQ dumbass when it comes to game understanding.
Your browser is not able to display this video.
 
Bado hujaongelea game Control in General, ungegusia aspects kama Calmess, Composure, passing accuracy, passing selection, dictating the tempo of the game, intensity off the ball, winning duels etc.

Mikel Arteta in AON anasema kama huwezi kuwin duels you can't control games off the ball.
 
Nakubaliana na wewe ila hoja yangu ni kwamba kwanini holding midfielder upige line breaking passes wakati muda mwingi unacheza kwenye 1st phase & 2nd phase na besides you kuna Ø/ Xhaka ambao wangefanya hiyo kazi vizuri zaidi cuz wapo karibu na final 3rd? Kazi ya partey with the ball ni kusaidia build up, na kuprogress mpira to the other areas.

often times Unafanya line-breaking passes against compact midblock defense ya Patrick Viera hapo lazima passing accuracy ije 69%. Tukisema huna IQ ni vibaya?.
 
Una logic mkuu.

Partey wakati anafika alikuta hatuna AM. Xhaka alikua anasua sua na anaishia nje ya box, Odegaard hakuepo akaja ila hakua amefit kama sasa.

Partey akawa kama orchestrator nafikiri anaikumbatia hii role mpaka kipindi hichi wakati Xhaka anasogea mbele na Odegaaard yupo na nafikiri ndipo unapomuona kiazi kwamba kwanini anafosi kuorchestrate wakati odegaard yupo.

Lakini mimi naona bado ni injini yetu anagawa mipira kila upande, also mi binafsi naona aendelee kuorchestrate kwakua timu yetu bado haijajengwa around one forward ndiyo maana yeyote anatakiwa kuscore.
 
Kuna jamaa humu alisema tuwaige city ku manage game kwa dakika tisini nadhani naye leo kajifunza hii ni premier league


Kuna muda Newcastle 96% city 4%
Huwezi kukotroo game 90mins hata ufanyeje, hata nyakati barca wakiwa kwenye prime hawakuwa wakikontroo mchezo 90mins.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…