Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mlinzi wa kati wa Arsenal William Saliba 🇫🇷 alipiga pasi 76 dhidi ya Bournemouth hapo jana katika mchezo wa EPL.

Beki huyo alifanikiwa kufikisha pasi zote 76 kwa usahihi wa 100%.🔥🔥

NB: Bwana Mdogo ana umri wa miaka 21 tu.
 
Leicester are bracing themselves for a late move from Arsenal for Tielemans and Rodgers wants to have targets lined up in case they lose Tielemans (@TomHopkinson)
 
Ramsdale-24
White-24
Saliba-21
Gabriel-24
Zinchenko-25
Saka-20
Ødegaard-23
Martinelli-21
Jesus-25
Tomiyasu-23
Tierney-25
Lokonga-22
Vieira-22
ESR-22
Nketiah-23

This is what a rebuild looks like. This is how you piece together a project for a takeover and dominance.
 
Saa zingine huwa naingia kwenye haya majukwaa kusoma tu Carrasco amekuja Kwa namna gani. Saa moja yupo kwetu, saa ingine anatuponda haswa. Na hivyo ndivyo alivyo Kwa timu zote mpaka haeleweki ni timu gani 😆😆😆
Hii arsenal hatufungwi mpka ubingwa
.tunawataka Madrid na Bayern
 
MARTINELLI ASIYEKATA TAMAA,

Edu ndo alimleta Gab Martinelli kutoka Ituano ,Kipindi ambacho Martinelli akiwa ashazunguka Ulaya akawa amekosa team.

NB:Gab Martinelli kafanya trial Manchester united akaambiwa he is not good enough.

Akaenda Barcelona akaambiwa vile vile

Akaenda Napoli akaambiwa asubirie another call up aje arudie .

Anarudi zake Ituano ndipo akawasha moto akaitwa national team ya watoto kipindi hicho Edu Gaspar ni football manager wa national team ya Brazil baada ya hapo akamtanguliza Martinelli Arsenal then akaja yeye .

Edu alishapewa kazi na Arsenal akiwa amebakiza Miezi 6 national team, hivyo alikuwa anamaliza muda wake ndo akakutana na Martinelli akamleta.

Martinelli kaja Arsenal edu akiwa Brazil national team lkn aliyemleta Gab Martinelli ni huyohuyo ambaye alikuwa national team (Edu Gaspar).Kuna watu huwa wanachanganya mafaili na kudhani Martinel alisajiriwa na Unai emery , Ukweli Ni Kwamba Unai emery hakuwahi kusajiri mchezaji yeyote Arsenal , yeye alikuwa Head coach tu, haruhusiwi hata kuingia vikao vya bodi Kama ilivyo sasa kwa Arteta ambaye Ni Manager .

Na huu ndo usajili ulioanzisha project ya Edu pale Arsenal.

Huyo Ndiye Gabriel Teodoro Martinelli Silva



 
Daaah. Kumbe na sisi tuna jeuri 😄😄😄
 
Kipindi ambacho mtaaanza kusafiri kwenda spatiko mosiki kucheza Europa ....

Manarudi katikati ya wiki mnakutana na epl , Weekend fa ,carabao .....yaani Kila baada ya siku mbili game .....

Hapo ndipo nitakapoona pumzi ya arsenal ,Kama inaweza kupumulia game 38 za epl
.....vinginevyo kaaeni kwa kutulia kabisa ....!

Rudia kusoma Tena ...!!
 
Unaumia ukiwa wapi mkuu?
 


Mikel Arteta on Partey: “I know it has always been an aquatic midfield for you and there's no doubt you're the real octupus”

Thomas Partey’s first half in numbers vs Bournemouth ;
46touches
86% pass accuracy
2/3 ground duels won
1/2 aerial duels won
1 tackle won.

Thomas Teye Partey has played 270 minutes for the club.
3 Matches
3 Wins
9 Points

Aliesema partey hana football IQ aje atubu hapa
 
Hana kabisa IQ ya mpira huyu mwamba, hanaaa
 
Kama hujui basi Arsenal ana advantage kubwa



Liverpool ,Chelsea ,Spurs Hawa kule UCL kuanzia mech ya kwanza lazima watumie vikos vyao vya kwanza , tayari had Sasa Chelsea ana majeruhi ya kante na kova, Viungo wake tegemez Ni Gorginho na kina Gallagher au Cheek

Liverpool ,EPL tu imeshamletea majeruhi eneo la kiungo ..

Na ucl huwez kuchezesha kikos Cha 2 ,hatua za makundi Kama Europa league


Wakati Arsenal huku Europa hizi group stages ,first eleven yetu inapumzika ,na uhakika wa kubeba point Ni mkubwa Sana kwa kuchezesha Kikos Cha pili

Mech za Europa wanakamua waliotoka injury, kina elneny, Fabio , Nketiah , Tierney ,Smith Rowe , Tomiyasu,Sambi lokonga ,

Hiki kikosi Cha kwanza watacheza wachache Sana, utakuja kuwaona kuanzia Round 16 na kuendelea,wakati Liverpool,Spurs ,Chelsea inawalazimu kuanzzia game ya kwanza makundi waweke kikos kamili .

kikos Cha kwanza kwa asilimia kubwa kikisubiria EPL

Sijamtaja city maana yeye ana wachezaji versatility wengi kuliko hao wengine.

kwahiyo Arsenal utakuja kuiona serious kabisa kwenye hatua za MBELENI ,
 
Tuna shida ya kujiposition.

Tuna mchezaji mmoja au wawili ambao ndiyo pekee wanaamua forward runs.

Magalhaes atakuja kutoa maboko akikutana na ST mwenye pace.

Hatuna kiungo kama Partey.

Zinchenko na Jesus wanahuisha uhai mbele. Brilliant signings.

Saka apumzike.

Tulimsema Odegaard juu ya uzito wake kushoot jana amejirekebisha.

Nimekutia kati haya madai ya IQ ya Partey, naomba tutajiwe mchezaji wa namba ya Partey mwenye IQ ambaye akija pale atatusaidia.
 
Jana alikuwa na 89% passing accuracy? nadhani ndio maana a little bit game ilitulia, don't make line breaking passes Thomas Partey, you're not the creator, you're the controller. Consistency, consistency, consistency is key.
 
Mkuu nikisema Partey hana IQ wewe unanielewaje? Tuanzie hapo kwanza.
 
Hili suala la Partey nadhani wengi wanaliona isipokuwa humu kwa tactico wa JF. Hatuna mid kama Partey sure ila he is not good enough kwa position anayocheza. Jana kakupa kitu, subiri against the better tactical teams utatamani ulie. Against leicester alikuwa na 69% passing accuracy, jana alikuwa na 89% of passing accuracy, where's consistency? Na ndio tatizo la Partey toka kaja Arsenal hanaga Consistency, he can't replicate the same performance week in week out. He lacks IQ

Arteta: "Really pleased, but at the same time there are many areas we can get much better."

Msome huyo mdau anajiita kroenke hype, naona ana idea kama nilichokuwa nakiona, hiyo ilikuwa baada ya game ya jana.
 
Mkuu nikisema Partey hana IQ wewe unanielewaje? Tuanzie hapo kwanza.
IQ intelligence Quotient

Football IQ = football intelligence
Includes
Accuracy
Passing
Vision
Ball control
Bal balance

Partey as a midfielder:
Anachezea timu
Yupo vizuri defensive
Winning mipira
Yupo vizuri man to man
Ana speed
Ana vision

That's all I know
 
Nimekupata.

Ila unajua namna Palace walikua wanacheza ilikua ngumu timu kupiga pasi kwa usahihi mara zote?

Notice kwamba jana hata Saliba amekua na accuracy ya 100%. Mfano Eze kwenye game yetu atakua na accuracy kubwa ukilinganisha na dhidi ya Liva.

Am simply saying kuna makosa Partey anafanya kwakua timu nzima bado haina fluid movement kwenye kukaba na kushambulia ndiyo maana ubora wake (accuracy) unaonekana kwa baadhi ya timu. Jana pia Arsenal tulikua tunakaba wawili kwa mmoja tofauti na game na Palace.

Mchukue Partey mtupe Chelsea, mtupe United utapata picha
 
Agent of Nicolas Pepe confirms to @francebleuazur that they are in talks with Nice over a dry loan. Outcome is expected in a few hours

via @ClubNissa https://t.co/NQJQABHOXY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…