Huu Ni mpira unaohitaji technical players ,Siku hizi Arsenal unaiangalia huku mguu uko juu.. No stress!
Kwanza wachezaji hawatoki hata jasho. Wanagusa tu!
Ndio mpira wa msimu huu toka preseason ,hiv mnadhan Chelsea kula Zile 4 akiwa full alionewa?Yaani unatamani uione Arsenal ikicheza kila siku kwa huu mpira.
Burudaaani kabisa!
Nami namfuatilia sana Partey game ya leoFocus yangu ipo kwa partey ambaye anadaiwa ana low IQ ya football nataka kudhibitisha hilo today
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mwaka huu tutawapa tabuMna uhakika nyie ni title contenders au pretenders [emoji23][emoji23][emoji23]
Default setting soon.....Thread yetu siku hizi majirani watakuwa wanachungulia hawa comment.