mfano
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 670
- 1,132
Naelewa babu, ndo maana roho inauma nilikua na stream live ila mtandao unazingua kinomaPoa nitakuua nakupa updates,lakini umekosa Bonge la mechi
Naelewa babu, ndo maana roho inauma nilikua na stream live ila mtandao unazingua kinomaPoa nitakuua nakupa updates,lakini umekosa Bonge la mechi
kuna vitu arteta anapaswa kuvifanyia kaz kwa gesus ili kupata the best out of the guy
utulivu mbele ya goliLike?
tap-goalsLike?
tap-in goalstap-goals
NTAIFUTA NA MIMIDownload app inaitwa CYPRUS TV ipo playstore utakua unachek game nyng ni ww tu na mtandao wako.
Natamani niijue timu yako ili ukikutana na Crystal Palace kwao uje hapa uongee baada ya mechi.Hivi vitimu vyenye wachezaji wa senti mbili, vitapata tabu sana kwa Gunners
Natamani niijue timu yako ili ukikutana na Crystal Palace kwao uje hapa uongee baada ya mechi.
Weka picha yake mkuu naona zipo nyingi.Download app inaitwa CYPRUS TV ipo playstore utakua unachek game nyng ni ww tu na mtandao wako.
umesikika mkuuWe need a third goal to be safer