Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,740
ipo league oneHiyo timu ipo ligi daraja la ngapi?
Yan kucheza vzuri huko ligi za chini ndio kawa proven tayari kupambana na EPL?
Tutakupiga marufuku kuja humu, kuongea utumbo
Sasa kawambie saton waliotoa hio pesa £12 million ,sio unakuja na double kick zako kubweka ...!
Bazunu na kelleher wa Liverpool,Hawa ni moja ya goalkeeper Bora wa taifa la Ireland na wanakiwasha hatari ,bazunu alishawahi kuitoa penalt ya Ronaldo( Portugal vs Ireland ,world cup qualifiers 2022) ...Sasa unakuta mlevi mmoja wa arsenal amekaza fuvu sijui unawazid scout wa saton ? , Management nzima ya Southampton sijui unawazid akili ?
Vitu vingine unaona ni matumizi mabaya ya akili kubishana ....
Kaangalie hata youtube basi unyama wa bazunu ,sio unakalili tu kacheza league one ,