Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwenye Dakika 20 Za Mwanzo Aisee Arsenal Ilikuwa inacheza Mpira Mkubwa Vibaya mnoo ilikuwa ina Press vizur inacheza pass za haraka wanatoka kutoka Eneo moja kwenda lingine kwa Ufasaha na Nikaona Kabisa Hawa Palace leo Watakula Mkono

Ule Msako wa Dakika 20 za Mwanzo Ukikukuta Pale Emirates Ukijichanganya Game Dakika hizo Ushakula mkono Ngoma imekata...

Mwalimu Kawandaa Vijana Vyema Haswa Hii Pre Season Wako Sharp Fit na Wanajiamni na Zaidi wanaweza Hadi Battle za One vs One..

Selhurst Park Ni Mojawapo ya Viwanja Vigumu Mno Kwenda Na Kutoka Na Matokeo Huku Ukiwa Ume Relax

Palace Walitupa Game tough Sana na Ni Kitu nilikuwa Nataman Sana Tushinde ila tupewe Game Tough ili kama Inawezekana Tuongeze Watu Kikosini na Pia Wachezaji wajue Kuwa Ligi ni Ngumu na Mwalimu Aisbweteke..

Top Top PerfomancE Kutoka kwa
SALIBA
MARTINELL
RAMSDALE
WHITE
PARTEY HASWA First Half

Captain Martin Odergaard jana Game Haikuwa Upande Wake Na Wengine Wote Walikuwa Sawa ila Kuna some Moment Kwenye games Mambo Yaliwaendea Vibaya...

Usije ukajidanganya et Yule Zinchenko Akiwa anashambulia ndo mzuri akiwa anazuia ni wa kawaida..Brother Kajichanganye Uone Show Hakuna Beki asiyepitika na Dogo Jana Ayew kumzidi kama mara 2 sio kwamba et anapitika Kirahisi..Suala la Muda tuu ndo Kwanza Game yake Ya kwanza ile akiwa na uzi wa Gunners..
 
⚠️ | QUICK STAT

Arsenal players with more than 5 successful dribbles in a Premier League match since the start of 2020/21:

• Gabriel Martinelli (6) v Tottenham on 12 May 2022
• Gabriel Jesus (6) v Crystal Palace on 5 August 2022

It's a Brazil thing. 🇧🇷 🔴⚪️

#CRYARS https://t.co/IPqIFqZQGV
 
Odegaard, Rowe na muda mwingine Saka huwa wanapata shida sana wakikutana na timu zinazotumia nguvu na pressure kwenye kukaba
 
Dont argue like a layman. What is needed in football is scoring goals, the rest ni mbwembwe. We did that and bagged 3 points. Only an idiot will underrate Palace.
 
Arteta plans to use Zinchenko as a midfielder when tk is fit
 
Mkuu lembu umeiona hii kitu, matokeo ya liver leo, fuatilia tu utagundua jambo. Na katika timu huwa zinaweza game za mapema, na j3 ni Liverpool na man city.

Halafu ni mara chache mnooo wikiendi wakubwa woote kushinda.
 
Goal. Arsenal 3 Manchester United 1. Good finish from Azeez. Superb assist from Marquinhos with outside of his boot.
 
Arteta witnessed a Marquinhos’ special for the U21s. Let’s see what he decides to do with him.
 
Chelsea bhana walikuja juz humu na makelele ,Jana wamejionea Wana timu dhaifu

Nilisema Kama wataendelea na ile striking Force ya bila CF ,watakuja kutafuta mchawi

GOLI la penalty , matokeo yao itakuwa nyau nyau ,au moja bila au kipigo,muda wote wanarukaruka , iwobi kacheza vzr sana Jana

Leo ngoja tuwaone Nyumbu wanakujaje,washukuru wanaikuta Brighton iliyobomolewa ,ila sitashangaa droo ikitokea
 
Southmpton wasipojiangalia watashuka daraja

Unamuachia kipa Foster mzoefu ,unaenda kununua kipa kutoka academy ya mancity kwa £10m aje awe kipa namba 1 kwa EPL ,kipa ambaye hajawahi hata kucheza championship au mechi yoyote mancity awe no.1

Foster aliwaokoa sana msimu ulioisha ,moja ya game ni Dhidi ya arsenal alikuwa MOT

Sijashangaa kupigwa goli 4,na Spurs nilitarajia zaidi ya hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…