Subiri wanaume tuanze ligi tuwaonyeshe mpira wa kisayansi unavyopigwa. Leo saa 1 dk ya 20 uwe kwenye tv yako update burudani. DStv 223Sub zetu
CM mpya
RW mpya
Smith Rowe
Fabio vieira
Tierney
Tomi
Elneny
Sisi hao tunawabugizaga 3 au nne fuatilia H2H vs ChelseaTutatawanya magoli ,uzuri Jesus anacheza namba zote za mbele ,Jana ilikuwa atoe assist kutokea pemben
Unawadharau palace Sana, waulize man u na mancity
Kuna mkubwa ataacha point pale ,sio poa wale jamaa
Walianza kutumia nguvu sana
Angalia msivutwe shati ,shauri yenu , everton imebomolewa lkn sitashangaa wakiondoka na point mojaSubiri wanaume tuanze ligi tuwaonyeshe mpira wa kisayansi unavyopigwa. Leo saa 1 dk ya 20 uwe kwenye tv yako update burudani. DStv 223
Utakuta anaye ongea huvi ni shabiki wa Man Utd, hawajiamini n timu yao, endelea kupiga ramli.Ule uwanja wa palace ofcourse ni mgumu....
Mkuu kaangalie ile game ya palace vs city tuliyo draw 0-0,walitamani mpira uishe wenyewe ,Kila kitu lilikuwa kinaonekana kabisa pumzi ya moto ilikuwa inawapumulia...
Usiangalie matokeo ya mpira tu ndio maana mnavimba kichwa bure ....
Angalia pumzi na ujuzi wa wachezaji ,ukiangalia arsenal sio team ambayo inaonesha uhai wa kuwa na consistency,hi ni marathon game 38 ....
Nafatiliaga , ile game ya fa , mliwazidi padogo ,wakapotea ,ila palace ya vieira wanabishanaSisi hao tunawabugizaga 3 au nne fuatilia H2H vs Chelsea
Yule Jack grealish atawakaba Sana msimu huu ,Ule uwanja wa palace ofcourse ni mgumu....
Mkuu kaangalie ile game ya palace vs city tuliyo draw 0-0,walitamani mpira uishe wenyewe ,Kila kitu lilikuwa kinaonekana kabisa pumzi ya moto ilikuwa inawapumulia...
Usiangalie matokeo ya mpira tu ndio maana mnavimba kichwa bure ....
Angalia pumzi na ujuzi wa wachezaji ,ukiangalia arsenal sio team ambayo inaonesha uhai wa kuwa na consistency,hi ni marathon game 38 ....
Utakuwa umeanza kuangilia mpira Jana bro, sio kila mechi utashinda huku umetawala mchezo, Kuna zingine hautatawala mchezo ila utashinda hizo ndio dalili za timu nzuri,like arsenal vs city mwaka janaKiwango cha timu husika pia ni mhimu kijadiliwe hata kama imeshinda mkuu na si kutanguliza ushabiki mbele hapa, hilo gori la 2 ni makosa ya wazi ya beki.
Lembu kwa EPL ninavyoiona ,waambien ukweli manureSubiri wanaume tuanze ligi tuwaonyeshe mpira wa kisayansi unavyopigwa. Leo saa 1 dk ya 20 uwe kwenye tv yako update burudani. DStv 223
Piga kimya basi maneno mengi kama mganga wa kienyeji, hiyo ndio arsenal yetu hata ikishuka daraja tunayoUle uwanja wa palace ofcourse ni mgumu....
Mkuu kaangalie ile game ya palace vs city tuliyo draw 0-0,walitamani mpira uishe wenyewe ,Kila kitu lilikuwa kinaonekana kabisa pumzi ya moto ilikuwa inawapumulia...
Usiangalie matokeo ya mpira tu ndio maana mnavimba kichwa bure ....
Angalia pumzi na ujuzi wa wachezaji ,ukiangalia arsenal sio team ambayo inaonesha uhai wa kuwa na consistency,hi ni marathon game 38 ....
Arsenal ni EPL winnerMechi ya Jana Palace waliwaremba sana
Two chance
Two possible penalties
Arsenal from 40mins onward wachezaji wenu walichoka sana. Mkicheza hivi Kwa timu clinical kule mbele mtabugizwa magoli mengi sana. So don't dream about top 4 now.
Mimi naiona Arsenal ni Ile Ile ya misimu ya nyuma. Timu isiyo na consistency na haitabiriki. Timu mtakayoweza compete nayo ni Westaham na Manure kwenye 5 position. Top 4 forget it. Tuchel na Conte wamelala tu wawaachie top 4 timu ya wanafunzi wa academy kweli. Your are not serious.
Tuache muda uzungumze, hivi unadhani selhurst park ni kwepesi, msimu uliopita pale tulikufa nyingi tu, kisha tukaambulia sare Emirates, hivyo kumfunga huyu mpinzani ni jambo jema saana.Mechi ya Jana Palace waliwaremba sana
Two chance
Two possible penalties
Arsenal from 40mins onward wachezaji wenu walichoka sana. Mkicheza hivi Kwa timu clinical kule mbele mtabugizwa magoli mengi sana. So don't dream about top 4 now.
Mimi naiona Arsenal ni Ile Ile ya misimu ya nyuma. Timu isiyo na consistency na haitabiriki. Timu mtakayoweza compete nayo ni Westaham na Manure kwenye 5 position. Top 4 forget it. Tuchel na Conte wamelala tu wawaachie top 4 timu ya wanafunzi wa academy kweli. Your are not serious.
Huyu Jembe ndie aliyecheza vizuri Muda wote Jana. William Saliba is a real CB baada ya miaka 7 ndio Sasa mnamuweka kwenye first team. Mngezubaa tu tungemchukua huyoOur Man of the Match tonight?
100% take-ons completed
100% aerial duels won
94% pass accuracy
7 ball recoveries
6 clearances
Debutant William Saliba
View attachment 2315843
Wataalamu wa pre-seasonEndelea kusajiri mabeki zaidi ,
View attachment 2315810
Tutolee upupu apa ..uyo Gabriel atawafikisha wapi huu msimu, uyo ataruka ruka tu ndani ya game sita Saba ..atapoteana subiri muone, kule Man shitye alikuwa bench womaHivi nyie nyumbu, cheltako na manshit mnaanzaje kumsema G. Jesus? Hivi mnajua kazi anayoifanya?
Hawa wa mashabiki wa manshit wanaongea kwa kuwa washamtoa kwetu, niwaambie tu Guardiola alimhitaji zaidi G. Jesus msimu huu kuliko Haaland. Take my words. Time will tell!
Nyie mashabiki wa nyumbu fc mnaomuongelea G. Jesus mpaka sasa hamna straika kama G. Jesus kwenye timu yao. Time will tell!
Nyie cheltako ndo mnamtegemea Kai Havertz.. mmekuja nanyi kumuongelea G. Jesus.. Hivi mnaijua kazi anayoifanya nyie takataka?
Nawaheshimu mashabiki wa Liverpool, wao wanaelewa soka ndo maana sijawaona wakileta midomo yao humu.
Shida ni hizi timu nyengine zinazojifananisha na kutaka ushindani na sisi.. nawaambia mwaka huu mtapata tabu sana!
Hata msimu uliopita mlisema ni msimu wenuNataka niwahakikishie wana gunners na mamluki wengine mnaoingia humu.. huu msimu ni wetu! Mtake msitake!
Na kama tukiwa nao Saliba na Partey kwa mechi 37 zilizobaki kwenye PL basi tutegemee makubwa zaidi.
Time will tell.