Arteta hatumii DM ,wazee tunahitaji kusajili aisee DM RCM na RW la sivyo tusitafute mchawi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Palace KAUPIGA MWINGI SANAAA ni vile tu amekosa ukatili mbele ya goli ila wamewapelekea moto sanaa Arsenal ni ileile
Basi wameshinda Palace.Palace KAUPIGA MWINGI SANAAA ni vile tu amekosa ukatili mbele ya goli ila wamewapelekea moto sanaa Arsenal ni ileile
Usiifananishe Arsenal na vitu vya hovyoHakuna asiemjua Palace alivyo mgumu akiwa home.. kama unabisha waulize City, kisha kawauliza Nyumbu walichokutana nacho..
Ukitaka kujua zaidi, subiri timu yako ikacheze pale!
Acha kula kinyesiCheki hili takataka kichwa imejaa maji tu ..hayo matakataka apo iloyataja Nani wa kuikataa Chelsea wewe? Izo zilikuwa tetesi tu na hakuna mzungumzo yeyote apo
Cry moreArsenyeto bana
Tulia ulambe dawa!!Uzuri wa mashabiki wa Arsenal ni kwenye ushindi watasifiwa kila mtu hadi waliojenga uwanja lakini vipigo vitakapoanza kuchanganya ndipo mwanzo wa kushikana mashati.
akiumia partey nani atacheza??Arteta hatumii DM ,
RCM NA RW ndio sajiri zilizobaki kufunga dirisha