Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ya namna hii[emoji38][emoji38][emoji38] walai mtagongeshwa sana hamna timu hapo yaani kwa jinsi navyoifuatilia hii game mmezidiwa sana na palace sema hawako makini katika Ku score tu mngekuwa mshakula hata 3 .
Hakuna asiemjua Palace alivyo mgumu akiwa home.. kama unabisha waulize City, kisha kawauliza Nyumbu walichokutana nacho..

Ukitaka kujua zaidi, subiri timu yako ikacheze pale!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…