Cucurella Ni mchezaji wakwaida ,Ni sawa na Nuno Tavares tuliyemtoa mkopo OMUnavyosema wachezaji wanatukataa sijakuelewa kwasababu koulibaly, sterling, Cucurella wamekuja kwetu na frenkie de jong katuchagua over man u
Wewe hukupona ,na yeye haponi leoMpige tuone
Majibu mtaanza kuyapata leoWewe tumekogonga 4 ilikuwa ule 7
Hi sajiri sajiri mabeki ya kulanguliwa ,inawapa Kiburi mnaanza kuja huku
Na baadae mje humu
Wewe bado huna timu yakupata matokeo kwetu
Dawa itawaingia taratibu,Kwa Mara ya kwanza naangalia game ya arsenal sababu ya Hawa ,vinginevyo nisingepoteza muda wangu bure kabisa na mkiwatoa Hawa nazim tv nalala View attachment 2315124
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Ujue mnafurahisha basi TU, eti mnachekelea mmepata mchezaji , wakati huyu hapo Arsenal hapishani na Nuno TAVARES ambaye tumemtoa mkopoMajibu mtaanza kuyapata leoView attachment 2315118
Ukute mchana huu hujala kitu ,Hii ni arsenal timu isiyokuwa na future
From beginning mbona wewe ni mbwa tuArsenyeto mkishinda Leo mniite mbwa nimekaa pale
Hawa wapo , mwaka Jana na juz ilikuwa mtuuzie John stones na Bernado ,Mambo hayakukaa sawa , stone akarud akauwasha Sana, the same kwa Bernado,Kwa Mara ya kwanza naangalia game ya arsenal sababu ya Hawa ,vinginevyo nisingepoteza muda wangu bure kabisa na mkiwatoa Hawa nazim tv nalala View attachment 2315124
Rejected Chelsea list (summer 2022):Unavyosema wachezaji wanatukataa sijakuelewa kwasababu koulibaly, sterling, Cucurella wamekuja kwetu na frenkie de jong katuchagua over man u
Hao unawataja ni Raphinha na Lewandowski pekee ndio walisema wanaitaka Barca hao wengine wote waliobaki ni porojo zakoRejected Chelsea list (summer 2022):
1.Gabriel Jesus
2.Richarlison
3.Raphinha
4. Dest
5.Ronaldo
6.Dembele
7.Lewandowski
8. De Ligt
9.Kimpembe
10.Gnabry
11.Ake
12.Lukaku and Broja (their own playersπ)
13. De Jong
14. Kounde
15. Auba
Let's all laugh at REJECTION FCππππππ