Usijali hapo katikati Song, Cesc na Walcott watakuwa wamerudi ndio moto utawaka wakati nyie mnatiana ngeu kwenye CL usisahau na nyie Evans three matches out.
to be honest, yule kipa wa arsenal aliyevunjika kidole is the bestAlmunia for England, FACT....bundi karudi nyumbani kwake Emirates rasmi, FACT....SIX YEARS AND COUNTING, FACT....NEW TROPHYLESS ERA AT EMIRATES, FACT.
Those are the FACTS, muulize Rafa Benitez the Spanish Waiter ukitaka details.
HeheheehhAlmunia baada ya kukaa bench kwa muda mrefu naona ana-revenge ..... .... ... kalipwa mpunga na mafioso huyu!
niko huku nto wa nbu hakuna baa aisee... ndo naelekea karatu kupunzika
... .... .... ... ... ... lakini mwaka huu bado hatujapoteza mechi ya EPL ... .... ...
congrats mkuu... mwaka huu hamjapoteza hata mechi moja in EPL
remember... almost doesnt count
To be fair he had a decent game mpaka alipopewa kadi.Bora huyo Evans Akae nje pale nyuma acheze Carrik, if you watched our game today you could have understood me men! the guy is no longer fit to play for MANU
khe kheheheee.... hihiiiiiPole sana Mkuu! nawatakia kila la kheri kesho dhidi ya money star city
chababu??FYI we are title contenders ndio chababu roho inakuuma ulichonga sana kabla ya mpira kwisha lakini baada ya magoli kurudi unaweweseka khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee patachimbika tu. waulize peasant waliodai kombe November wako wapi? Wanagombea nafasi ya Europa cup! Na wewe hata hiyo umepiga hola.
Yet you are trailing the pacemakers by five points, what does that tell you?Usijali hapo katikati Song, Cesc na Walcott watakuwa wamerudi ndio moto utawaka wakati nyie mnatiana ngeu kwenye CL usisahau na nyie Evans three matches out.
Yet you are trailing the pacemakers by five points, what does that tell you?
Almunia baada ya kukaa bench kwa muda mrefu naona ana-revenge ..... .... ... kalipwa mpunga na mafioso huyu!
chababu??
khe kheheheeeeeeeeeee...... hihihiiiiiii
Kweli umechanganyikiwa na droo
Say you win the match in hand, utakuwa nyuma point mbili (still trailing I believe unless your math is fuzzy). Mmekamia mechi na sisi (ambayo iko a month or so away) mnasahau mechi za katikati ambazo mnatakiwa mrack up points instead of dropping them.How does that count when we have a match with you? And also one game in hand? Vipi mkuu ulikimbia umande nini? ... ... .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Thats what makes todays point very important to us.
How does that count when we have a match with you? And also one game in hand? Vipi mkuu ulikimbia umande nini? ... ... .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Thats what makes todays point very important to us.
Jamani kwani imekuaje koz wengine hatukuwepo?
Say you win the match in hand, utakuwa nyuma point mbili (still trailing I believe unless your math is fuzzy). Mmekamia mechi na sisi (ambayo iko a month or so away) mnasahau mechi za katikati ambazo mnatakiwa mrack up points instead of dropping them.
Heheh umedrop two points kwenye mechi uliyotakiwa uchukue point tatu alafu unafurahia kweli wewe kiboko.....
Say you win the match in hand, utakuwa nyuma point mbili (still trailing I believe unless your math is fuzzy). Mmekamia mechi na sisi (ambayo iko a month or so away) mnasahau mechi za katikati ambazo mnatakiwa mrack up points instead of dropping them.
Heheh umedrop two points kwenye mechi uliyotakiwa uchukue point tatu alafu unafurahia kweli wewe kiboko.....