Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
nadhani wmebaki CM na RW🚨 Arsenal wapo katika mipango ya kusajili beki mpya wa kati wa kushoto(LCB), kiungo (CM)na winga(RW) na wachezaji wengi wataondoka katika klabu hivi karibuni. [@MailSport] 🔴⚪️
