Kwa hiyo Arteta & Edu wangekuwa Watford Jesus angeenda huko sio?Jesus kaja hapo sababu ya arteta Wala sio arsenal...!
Ni pesa nyingi mno, inatosha kumfukuza kocha akiunderachieve, next season kwa usajili huu tutamdai Europa na nafasi ya tatu kwenye EPL.Iwapo deals zote zitakamilika
Jesus 45
Vieira 40
Marquinho 3.5
Raphina 55-60
Martinez's 45
Tieleman 25
Turner 7.5
Total £215-230m
mpaka naogopa!
Only transfer and over?Kwa hiyo Arteta & Edu wangekuwa Watford Jesus angeenda huko sio?
Hii Arsenal ni yamoto, mchezaji hafikirii mara mbili, anajua kuna mafundi kibao, pale Saliba, kule Tomiyasu, pale Saka, Odegaard, Nketiah
Inshort we are running the transfer market.
Kipaji na bange lazima upoteeHuyo dogo hapo na mpira ana miaka 14, na tayari alikuwa anafanya mazoezi na timu ya wakubwa.. Ni shabiki gani hajawahi kumlilia Jack Wilshere? Ipo makala ina kichwa cha Started early, ended early mwandishi aliandika kwa uchungu mno kuhusu hichi kipaji..
Unafikili hapo arsenal angekuwepo kocha falafala tofauti na arteta Jesus angekanyaga mbona unakaza fuvuKwa hiyo Arteta & Edu wangekuwa Watford Jesus angeenda huko sio?
Hii Arsenal ni yamoto, mchezaji hafikirii mara mbili, anajua kuna mafundi kibao, pale Saliba, kule Tomiyasu, pale Saka, Odegaard, Nketiah
Inshort we are running the transfer market.