Punguza hasira ueleweshwe mambo, Thomas partey tulitrigger release clause Β£45m , Atletico Madrid hawakupenda ila mkataba ndio uliwafunga, Partey akaacha UCL akafata Europa, Arsenal is attractive.Muwe mnaacha kuangalia habari za udaku za usajili, eti pepe alitakwaga na PSG na liva akazikataa akafata Arsenal hahaha....... kw uspesho gani?acheni kuzifanya story za vijiwe vya kahawa kuwa official.
Halafu huyo Partey angekua bonge la mchezaji asingetemwa na timu kubwa inayoshiriki UEFA aje kwnye katimu ka michongo km Arsenal. Alikua ni liability ndio mana Atletico wakamfungulia milango.
Nyie Arse88 Embu achen kudanganyana mkimpata mchezaji, juen hakina timu kubwa iliyomtaka. Gossip za mitandaoni zisiwadanganye.
"Partey akaacha UCL akafata Europa, Arsenal is attractive"Punguza hasira ueleweshwe mambo, Thomas partey tulitrigger release clause Β£45m , Atletico Madrid hawakupenda ila mkataba ndio uliwafunga, Partey akaacha UCL akafata Europa, Arsenal is attractive.
SawaMwenzetu kaota na anaota kama mimi ππ
View attachment 2274155
kabisaJesus kaja hapo sababu ya arteta Wala sio arsenal...!
yaaap raphina anaielewa sana barcelona naonaKWENYE HII RACE YA RAPHINA MPINZANI MKUBWA NI BARCA
cha ajabu mpinzani mwenyewe hana hela , Barca anataka auze FDJ , happy hapo amuondoe Dembele , hapo hapo Bayern wameshasema bila Β£52m Lewa haondoki, na Barca walishamuahid Lewa atasepa
Wiki ijayo ndio Barca anatakiwa akamilishe Mambo yote , Hayo anatakiwa ayamalize next week
Arsenal wameshapanga kuanzia kesho wanakutana na Leeds wanapeleka ofa ya pili Β£50m plus 15 add ons ambayo Leeds ataikubali
MSIMAMO WA RAPHINA ,ANAPENDA KWENDA BARCA NI NDOTO YA WABRAZIL WENGI , ila Barca wakishindwa basi ataelekea Arsenal
tieleman akitua ntakuwa na amani sana aseeeeArteta inasemekana anataka kwenye Preseason awe na Wachezaji wapya waanze kuzoea ,isiwe Kama msimu uliopita kupoteza mech 3 za awali
Partey na Tierney wapo fit 100%
Anatarajia kuwa na G.jesus, Vieira, Marquinho , Na huenda Raphina Kama usajiri wake utakamilika mapema
Dili mbili huenda zikakamilika mwishon kabisa hasa ya TIELEMAN ambaye personal terms sio issue
Leicester Wana demand Β£30-35m , Arsenal anajua Tieleman amebakiza mwaka mmoja na amegoma kuongeza mkataba , hivo dakika za mwisho Arsenal atapeleka ofa ya Β£20m-25m , Leicester itabidi amuuze kwa presha ya kumpoteza bure
TAARIFA zinadai kwasasa Hilo Dili Arsenal ameliweka pending , akitaka akamilishe Dili la Raphina na Lisandro Martinez