Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Unajua kwanini tunamsajili Raphinha? au kwanini ni lazima tusajili Winger dirisha hili?
Ni kwamba Wingers wapo wawili tu Arsenal (Saka & Martinelli). ESR anaweza kutokea pembeni ila sio winger kiasili, ESR ni namba 8/ #10 hybrid, anacheza sana kwenye half space, natural wide players wanasifa ya kufanya runs in behind hivyo wanastretch zaidi uwanja. Kwa hiyo ni lazima tupate winger kuleta tactical balance in the long run.
Kwahzo takwimu anatutosha kwa sasaTakwimu za G Jesus Kama CF , LEFT WING ,RIGHT WING
99 - Gabriel Jesus's 99 starts in the Premier League broken down by game position:
CF: 78 starts, 40 goals, 14 assists
RW: 15 starts, 9 goals, 8 assists
LW: 6 starts, 4 goals, 1 assist
Preference? https://t.co/YGVwwytapd
Tielemans na mashaka Kama atakuja lakin n wamuhimu sana, ataongeza nguvu sana pale katiMatt Turner (£7.5m), Marquinhos (£3m), Fabio Vieira (£34m), Gabriel Jesus (£45m) and if Arsenal get deals done for Raphinha (probably £60m) and Lisandro Martinez (probably £40m) takes the summer spend to £200m.
Saliba returns from loan and we want Tielemans on top of it.
Jesus aja Arsenal kwa sababu kubwa mbili, kwanza kuwa mshambuliaji wa kwanza yaani first choice striker.Jesus kaja hapo sababu ya arteta Wala sio arsenal...!
Leeds wameshauriwa waongeze hizo 10M kwa sababu wamemuachia Calvin Phillips hivyo hawana pressure ya kuuza.🚨 Leeds have valued Raphinha at £65m but they do not wish to stand in his way should they receive a fair offer. Arsenal had a £30m + £10m in add-ons bid rejected. Their second bid will be close to £50m. Arsenal are hopeful. Reports, Simon Jones for
@MailSport.
aiseee how can you analyse thatLeeds wameshauriwa waongeze hizo 10M kwa sababu wamemuachia Calvin Phillips hivyo hawana pressure ya kuuza.
Raphinha bado ana miaka miwili imebakia.
Hata hivyo Arsenal wamtaka Raphinha ili acheze upande wa kulia na Saka aende kushoto.
Saka amekuwa akipata tabu kushambulia upande huu wa kulia na kuchezewa rafu sana lakini Raphinha ana uwezo huo zaidi kwa sababu pia hutumia miguu yote miwili kuchanganya mabeki na kutia mipira eneo la hatari au kufunga pia.
Mkuu, ngoja niongee kama mzee Tambwe Leya, umewahi kumsikia huyu mwamba?Nowadays, 4-3-3 set-up wanatumia two #8s, tuongee kuhusu RCM & LCM sio AM, so Fabio Vieira kwa namna anavyocheza FC porto anatumika kwenye right hand side, huyu ni RCM.
Look at Opta Index most fouled players/wingers.aiseee how can you analyse that
' eti anachezewa rafu sana'
Sikweli kamsikilize Charles watts Arsenal correspondant,Leeds wameshauriwa waongeze hizo 10M kwa sababu wamemuachia Calvin Phillips hivyo hawana pressure ya kuuza.
Raphinha bado ana miaka miwili imebakia.
Hata hivyo Arsenal wamtaka Raphinha ili acheze upande wa kulia na Saka aende kushoto.
Saka amekuwa akipata tabu kushambulia upande huu wa kulia na kuchezewa rafu sana lakini Raphinha ana uwezo huo zaidi kwa sababu pia hutumia miguu yote miwili kuchanganya mabeki na kutia mipira eneo la hatari au kufunga pia.
Mkuu, tusubiri usajili ukamilike.Sikweli kamsikilize Charles watts Arsenal correspondant,
Saka Kama RW ndio ana hatari sana na ndipo ana namba nzuri za kufunga na kuassist,
RW Saka atakupa assist TU, Arteta ndiye aliyegundua Saka Ni hatari akitokea kulia, amemkuta Kama Beki
Uzuri Ni kuwa Raphina anacheza LW vizuri tu , tofaut na Saka
Nimeshangaa hapo anaposema Saka eti atahamishwa Kushoto , wakati huko Hana makali kama akitokea kulia ambapo sasa ndio imekuwa kama MAIN POSITION YAKEaiseee how can you analyse that
' eti anachezewa rafu sana'
Leeds Wana presha ya kumuuza Raphina ,sababu ameshaomba kuondoka na kuthibitisha Hilo wanakaribia kumpata Mbadala wakeLeeds wameshauriwa waongeze hizo 10M kwa sababu wamemuachia Calvin Phillips hivyo hawana pressure ya kuuza.
Raphinha bado ana miaka miwili imebakia.
Hata hivyo Arsenal wamtaka Raphinha ili acheze upande wa kulia na Saka aende kushoto.
Saka amekuwa akipata tabu kushambulia upande huu wa kulia na kuchezewa rafu sana lakini Raphinha ana uwezo huo zaidi kwa sababu pia hutumia miguu yote miwili kuchanganya mabeki na kutia mipira eneo la hatari au kufunga pia.
Arteta kamkuta Saka beki?Sikweli kamsikilize Charles watts Arsenal correspondant,
Saka Kama RW ndio ana hatari sana na ndipo ana namba nzuri za kufunga na kuassist,
RW Saka atakupa assist TU, Arteta ndiye aliyegundua Saka Ni hatari akitokea kulia, amemkuta Kama Beki
Uzuri Ni kuwa Raphina anacheza LW vizuri tu , tofaut na Saka
We ni nyumbu,Leeds wameshauriwa waongeze hizo 10M kwa sababu wamemuachia Calvin Phillips hivyo hawana pressure ya kuuza.
Raphinha bado ana miaka miwili imebakia.
Hata hivyo Arsenal wamtaka Raphinha ili acheze upande wa kulia na Saka aende kushoto.
Saka amekuwa akipata tabu kushambulia upande huu wa kulia na kuchezewa rafu sana lakini Raphinha ana uwezo huo zaidi kwa sababu pia hutumia miguu yote miwili kuchanganya mabeki na kutia mipira eneo la hatari au kufunga pia.
Yah alikuwa LB ,had anapoke timu kutoka kwa ljumberg bado Saka alikuwa anatumika LB Sana,huku akiwa na assist nyingi , Emery na ljumberg walikuwa wanamjaribujaribu mara chache Kama winger LW, Lakini mwisho wanamrudisha Kama Beki , na timu ya taifa vijana alikuwa anacheza Kama Beki, ,Arteta kamkuta Saka beki?
Mh labda kama kuna mechi zilinipita.Yah alikuwa LB ,had anapoke timu kutoka kwa ljumberg bado Saka alikuwa anatumika LB Sana,huku akiwa na assist nyingi , Emery na ljumberg walikuwa wanamjaribujaribu mara chache Kama winger LW, Lakini mwisho wanamrudisha Kama Beki , na timu ya taifa vijana alikuwa anacheza Kama Beki, ,
Arteta yeye ndiye akaanza kumchezesha LCM, LW ,mech na Liverpool ngao ya jamii akamchezesha RW ,Saka akatoa assist kwa auba , kuanzia hapo taratibu akawa anampa nafas Sana RW , the rest is history
Hapana labda kumbukumbu zako hazipo sawaMh labda kama kuna mechi zilinipita.
Mimi nimemuona Saka akicheza LB kwa Arsenal haizidi mara mbili, nikamuona chini ya Emery akicheza RW tukiwa Europa akascore nje ya box kwa curve.
Baada ya hapo sikuona mechi aliyocheza nje ya RW isipokua alikua anapishana na Pepe na kumbukumbu zangu zinaniambia Arteta kamkuta RW akahisi anahitaji kukomaa na akaona Pepe siyo mzuri sana ndiyo akaletwa Willian.
Pepe na Willian wakaunderperform na Saka akabaki huko.