Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Kufurahi ni kama kawa maana nilishakukabidhi kadi ya uanachama wa GUNNERS na ukaipokea kwa mikono miwili. Tutashinda tu leo usiwe na wasiwasi labda kama hao WB wawe wamekunywa maji ya uzima maana naona dalili za kuanza kuchanganyikiwa katika defence yao tukiendelea kuwapa pressure basi tutashinda tu.
Hata mimi naamini ushindi upo...ninawaamini the gunners... ili angalau wanifurahishe kwa kuwa nimekuwa upande wao...🙂