Hiyo pesa kubwa ndo pesa gani?Tena miongoni mwa makocha waliotumia pesa nyingi kwenye usajili na huyo jamaa yupo, pesa alipewa kubwa tu, hana kisingizio chochote zaidi ya kuprove failure.
Ndio pesa mlitumia kusajili wachezaji 7 na wakiwemo takatakata nyingi ndani yakeHiyo pesa kubwa ndo pesa gani?
Never argue with a fool,he will downgrade your knowledge to his level and then beat you with a fool experienceNdio pesa mlitumia kusajili wachezaji 7 na wakiwemo takatakata nyingi ndani yake
Haya masikitiko kwa Arsenal hayana makazi ya kudumu.Inasikitisha sana Arsenal leo wakuzungumzia lokonga wakati kipindi Cha nyuma mlikuwa mnawatu wamaana sana Watu kama diaby, song, Nasri, Arshavini, Thomas Rosisky, Carzola na wato hawa mliwasajili kwa pesa za madafu
Sijui nani yule tulibishana humu kuwa uzee wa cristina ronaldo ni bora kuliko nketiah na ujana wake 😂🤣Kama now on Aaron Arsenal amepotea humu ataibuka na tetesi utashangaa Nketiah kasign contract mpya na siku zitaenda
Sijui nani yule tulibishana humu kuwa uzee wa cristina ronaldo ni bora kuliko nketiah na ujana wakeKama now on Aaron Arsenal amepotea humu ataibuka na tetesi utashangaa Nketiah kasign contract mpya na siku zitaenda
Wenyewe AsaniWali wanamshukuru sana Arteta, wanadai amewavusha salama kutoka nafasi ya 8 msimu uliopita mpaka nafasi ya 5Tena miongoni mwa makocha waliotumia pesa nyingi kwenye usajili na huyo jamaa yupo, pesa alipewa kubwa tu, hana kisingizio chochote zaidi ya kuprove failure.
So mwanangu we ndo kitoabu, we computerarsenal, we ndo ARV, we ndo milango mitatu.Wenyewe AsaniWali wanamshukuru sana Arteta, wanadai amewavusha salama kutoka nafasi ya 8 msimu uliopita mpaka nafasi ya 5
Wanawake na mpira wapi na wapi, jifunze kumpikia mmeo kwanza.Tena miongoni mwa makocha waliotumia pesa nyingi kwenye usajili na huyo jamaa yupo, pesa alipewa kubwa tu, hana kisingizio chochote zaidi ya kuprove failure.
So mwanangu we ndo kitoabu, we computerarsenal, we ndo ARV, we ndo milango mitatu.
Cheki litimu letu next season dogoVipi Makwinyoz ameshaanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya hapo Emirates?
Si tuna invincible we unatudolishia takataka hiyo hata Nottingham forest wanayo!Mna miaka mingapi hamjanusa hata harufu ya hili kombe.View attachment 2236295
Weka picha hapa Nottingham forest akiwa kanyanyua hili kombeSi tuna invincible we unatudolishia takataka hiyo hata Nottingham forest wanayo!
Au unazungumzia haya makombe ya Liverpool miaka ya 1300 Before Christ B.CSi tuna invincible we unatudolishia takataka hiyo hata Nottingham forest wanayo!