Arsenal (The Gunners) | Special Thread

EXPERIENCE MATTERS that's it CONTE VS ARTETA at finally mmepata jibu la COMPUTERARSENAL have a good day wana Gunners wote Mmoja alikuwa juu ya mwenzake tena 3 games in hand but today tunajionea hali halisi

Hebu chora mchoro wa kubadilishana Makocha Conte aje Arsenal achezeshe kina Nketiah na Arteta aende Spurs awe na kina Son na Kane pale mbele halafu tuone kama Experience matter au Qualities/Class matter.
 
Hawa ni baadhi ya wachezaji maarufu hivi sasa, wakati Aseno ikicheza Champions League kwa mara ya mwisho🐒

1. Bukayo Saka



2. Mason Mount




3. Marcus Rashford



4. Trent Alexender-Arnold

 
"It is in Arsenal we find happiness in football"

Picha ya shabiki wa AsaniWali akiwa anatafuta furaha kwenye football.
 
"It is in Arsenal we find happiness in football"

Picha ya shabiki wa AsaniWali akiwa na furaha iliyopitiliza baada ya timu yake kufuzu kucheza Europa League.
 
Shabiki wa AsaniWali akiendelea kuchambua maharage
 
Ngoja window ya kununua ianze, utasikia tetesi za wachezaji karibu wote ulaya wanahusishwa na arsenal, mwisho wake tunawanunua kina "tavares". Kroenke ni disgrace kwenye soccer na has arsenal.
Nyinyi ndio team mmeongoza kwa utoaji wa jumla ya usajili mmewazidi man city, Chelsea, Liverpool, Tottenham na Man u hapo kwanini unamlaumu mmliki?
 
Mnamuonea tu bure Mmiliki kwenye huu msimu mmiliki wenu katoa kitita kizuri Cha usajili na ndio team yenu imeongoza kwa hela za usajili sema tatizo limekuja aina ya wachezaji mlioenda kuwasajili Thomas partey, Tomiyaso, ben white, lukonga, gabriel,Aaron Ramsdale na Nuno tavares kwa hili lundo la usajili mnamlaumu vipi mmiliki?
 
AsaniWali tukutane matopeni kwenye futuhi za Alhamisi.
Msimu huu huwezi kumtupia lawama mmiliki walipewa mpunga mrefu wakasajili wachezaji 7 wengine wamewasajili wa kawaida lakini wamewasajili kwa pesa kubwa.Hawa ndio wachezaji waliowasajili msimu huu

Lukonga

Tomiyaso

Nuno tavares

Aaron Ramsdale

Gabriel

Thomas Partey


Ben white

Sasa hapa kwanini umtupie lawama mmiliki Arsenal ndio team imeongoza kwa usajili wa pesa kubwa msimu huu kwa epl
 
Mkuu unawachezaji gani wakumlaumu Arteta kiasi hicho!!sidhani kama Arteta anapaswa kubebeshwa lawama zakiasi hicho tuna avarage players wengi mno.

Mimi kwa wachezaji wale ata hiyo yuropa tuliopata ni kushukuru tu,sisi wakulia nae ni Kroenke tu
Msimu huu mmiliki wenu katoa mpunga mkubwa Sana na ndio team imeongoza kwa kutia hela kubwa za usajili na ndio maana mmesajili wachezaji 8 msimu huu au mmesahau Thomas partey, Tomiyasu, Nuno tavares, Aaron Ramsdale, Tierney, Gabriel, Lukonga na Ben white hapa unamlaumu vipi mmiliki?
 
Mkuu unawachezaji gani wakumlaumu Arteta kiasi hicho!!sidhani kama Arteta anapaswa kubebeshwa lawama zakiasi hicho tuna avarage players wengi mno.

Mimi kwa wachezaji wale ata hiyo yuropa tuliopata ni kushukuru tu,sisi wakulia nae ni Kroenke tu
Sasa hapo hao average players Nani kawasajili kumbuka mmiliki wenu msimu huu katoa mpunga mkubwa Sana ndio Arsenal mmeongoza kwa utoaji wa mkubwa wa usajili nyinyi mkaenda kusajili wachezaji 8 Thomas partey, Tomiyasu, Nuno tavares, Gabriel, Aaron Ramsdale Tierney, lukonga na Ben white kwa huu usajili kwanini umtupie lawama Mmiliki wakati yeye kaplay part yake kwa kutoa mpunga wa kusajili? Kwani yeye ndio wamewasajili hawa wachezaji?
 
We will forever ever be Gunners.
 
Unashibikiaje timu ambayo n disappointment?? Si uende huko ambako sio disappointment?? Wewe ni matatizo sana. Umekaa kama mke anaeetoa Siri za chumbani kwa mashoga zake. Better shut up
 
I don't understand the negativity! We are a work in progress and a work in progress doesn't automatically mean we should be in top 4, although it would have been nice but 5th is still great with the squad and injuries that we had.
That kid, I always fail to understand. Asikuvuruge na asituvuruge coz na Sisi tutamvuruga
 
I would like Elneny to be given a new contract. He is better back up than most. Nketiah should go, today!
 
Na ww huelewi chochote kuhusu timu yetu,na timu yako vilevile ina matatizo kibao ndo unapaswa kudeal nayo
 
Hebu chora mchoro wa kubadilishana Makocha Conte aje Arsenal achezeshe kina Nketiah na Arteta aende Spurs awe na kina Son na Kane pale mbele halafu tuone kama Experience matter au Qualities/Class matter.
Huyo conte kwa kikosi kilichopo Arsenal hawezi kukubali kazi ya kuifundisha na ndio alivyo na timu yetu makocha wengi walikuwa wanakimbia kuifundisha na Arteta akavaa hilo Bomu na kwa kocha mwingine kwa kikosi hiki tungekuwa tumeshuka daraja kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…