Haya watani poleni, kusema kweli hii mechi nilikuwa na kihoro nayo lakini kama kawada naona Arsenal hamkuwa na plan b. Bundi officially kaondoka Old Trafford na kurudi London (Northern).
Haya watani poleni, kusema kweli hii mechi nilikuwa na kihoro nayo lakini kama kawada naona Arsenal hamkuwa na plan b. Bundi officially kaondoka Old Trafford na kurudi London (Northern).
tehe tehe tehe mtoto akililia hela muachie achezee akilala utaichua ndo ka style ka ferg kwa arsenal watachezeaa weeeeeeeeeee mpira mwisho wa siku kaubao kanasomeka vibaya kwao
Poleee, kwa kweli jipime mwenyewe haipendezi kabisa kupata presha ukiwa na umri mdogo kiasi hicho hata kama babu wa loliondo anayo dawa si vizuri kukaribisha vitu ambavyo vinaepukika