Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Sawa sawa mkuu. Kuna siku refa anakuwa upende wenu au anawauwa moja kwa moja. Ndiyo mpira. Niseme tu kuwa jana mlikamiana kila mmoja alihitaji matokeo ili awe salama kuingia top 4. Wachezaji wakatumia mbinu kumpresurize arsenal mkazidiwa maarifa.
 
Hapa mlirudisha yake mawili niliyokupiga first Leg. So hujashinda moja nami nimeshinda moja. Au nikumbushe

Arsenal 0 vs Chelsea 2
Chelsea 2 vs Arsenal 4
Hapana hizo mbili za mzunguko wa kwanza mlikua mnalipa mbili za msimu uliopita.

Naomba nikukumbushe.

Arsenal 3 chelsea 1
 
Na kujificha kwa wachezaji wao kuwa hawana uwezo wa kucheza UEFA. Mi nimewashauri kama hawana uwezo wa kucheza Uefa kwann wang’anganie si waache tu. Castr kaniwakia hatari
Kuna vitu viko wazi hata kukuambia naona uvivu.

Wakati mnanunuliwa 2003 mlianza safari ya rebuilding na wachezaji average, mliaim kufikia level fulani kabla hamjavuta wachezaji wenye potential au wenye majina. Wachache walistep up mkawakutanisha na sajili mpya.

Hii hufikia hatua hata kocha huonekana hawezi ifikisha timu kanani naye anatemwa. Kipindi hichi timu huweza nunua mchezaji ambaye alikua star alipotoka ila umri umemtupa mkono au kiwango kimekata.

Hilo duara lipo kwa timu yeyote inayoanza kujijenga, tuliona kwa City, Liva, PSG, AC Milan na soon tutaona kwa Newcastle.

Arsenal siyo haina wachezaji wa kucheza uefa Arsenal haina wachezaji wa kucheza tournaments zaidi ya moja kwa wakati mmoja. Iwe iwavyo kusajili lazima, na kama unadhani tukifika CL tutafika fainali hapo sina cha kukuambia
 
Mm napenda wanaume kama ww Ezekiel Mbaga mana mnasugua hadi raha, mara ya mwisho kuja geto kwako ulinisugua hadi nikajipoza na maji baridi
Wewe shoga em acha mazoea na mm, nenda kaliwe unapoliwaga.
 
Mbuzi hata upige gitaa la kutoka mbinguni ..huwa asikii ..mbuzi ni mbuzi tu
Hizi mbuzi za Emirates zikibahatishaga mechi mbili tatu hua zina maneno sana, zenyewe ndio zinajifanya zinajua sana kuchambua mpira.

Arsenal : Baby nataka nikuoneshe style mpya inaitwa "Airtel wezi wa bando"

Spurs: Embu nionyeshe sweety
 
Arsenal: Jamani Kane napanua mwenyeweee ila ingiza kichwa tu mi huko sijazoeeeeaaaaa

Huyo Kane sasa jinsi anavyoingiza hicho kichwa
 
Yaani ushinde game moja na kutoa sare moja halafu totte ashinde game zake zote mbili na bado uwe nafasi ya nne?

Kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…