nadhani tutaenda champions leagueArsenal kwenda Europe competition (Europa league)it means hatutapata quality players milele for example Jesus Tielemans hao wote wanasubiri msimu uishe I swear to God kama tutashindwa kuqualify champions [emoji471] league hatutapata hata player mmoja wa maana Aaron Arsenal atakuja na tetesi na zitaishia hivi hivi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna timu inayocheza mpira wa kihuni inayoweza ku quailify ucl
Bro kuwa na adabu na Asenyetoh ndo kauli gani hizi ?AssAnal
Tukienda CL ndio timu inaweza kuleta high profile players. Hakuna mchezaji mzuri anayetaka kwenda Europa...
Newcastle will be a very difficult opponent, yaani kumfunga Newcastle kwake itakuwa kiunzi kikubwa kuliko tulivyomfunga Chelsea kwake
Tuliza kipaza sauti hicho!Leo utaongea sana lakini ubao unasoma 3 bila. Inaonekana msimu huu umemfunga chelsea pekee ake[emoji23][emoji23]
Sasa kama hamna timu ya kucheza Ucl mnakomaa kwann? Acheni hiyo nafsi acheze tot altleat anakuwa na challenge UCL
Roho ya huruma tu imemuingia.Son analeta ustaa wa kitoto.
Bado anadevelop, atakuwa sawa tu.Odegaard is an idiot. Kila siku anapiga light balls kwenye nafasi za kufunga.
Kocha hana shida ila baadhi ya wachezaji wamepitwa na muda, lacazette, Holding, Cedric hawatakiwi kucheza Arsenal, they are shit. Tavares bado mdogo apewe muda ajifunze. Individuals errors za Cedric & Holding zimetunyima control ya mchezo ndo mambo mengine mengi yameingia hapo kati na Spurs wamecapitalize.I still trust Arteta even if we miss a chance in ucl