Proved us wrong.🎙| " Ni captain wa taifa gani?hilo taifa lina ukubwa gani kimpira?huyo ni midtable player na hawezi wasaidia arsenal chochote,kati ya Odegaard na maddison mi namchukua maddison" -
[George job- mchambuzi wasafi fm,7 Dec 2021]
View attachment 2217897
View attachment 2217899
View attachment 2217901
Safari imeiva huyo au SterlingDili la Haaland kwenda Man city naona limeiva kama hajatokea Real, Barca au Manure kuhijack hili dili. Ni wazi kuwa Inconsistent Jesus Pep anamtoa.
Watu waache kuangalia wachezaji baada ya kuwajua, hata humu kuna watu walisema tunamhitaji Maddison lakini Maddison is not a finished article kwa ile price halafu afike muanze tena kufundishana cha kufanya ni ujuha unaofanywa na united na chelsea tu🎙| " Ni captain wa taifa gani?hilo taifa lina ukubwa gani kimpira?huyo ni midtable player na hawezi wasaidia arsenal chochote,kati ya Odegaard na maddison mi namchukua maddison" -
[George job- mchambuzi wasafi fm,7 Dec 2021]
View attachment 2217897
View attachment 2217899
View attachment 2217901
Madder mtu sana sema ile Bei hapana aiseeWatu waache kuangalia wachezaji baada ya kuwajua, hata humu kuna watu walisema tunamhitaji Maddison lakini Maddison is not a finished article kwa ile price halafu afike muanze tena kufundishana cha kufanya ni ujuha unaofanywa na united na chelsea tu
Kama Tielemans atakuja hakutakua na haja ya MaddisonMadder mtu sana sema ile Bei hapana aisee
Mm naona bado tunamuhitaji madder,
Sema wachambuz wa bongo wapo too negative sana, Mtu Kama Tomiyasu alipondwa sana
Proved us wrong.🎙| " Ni captain wa taifa gani?hilo taifa lina ukubwa gani kimpira?huyo ni midtable player na hawezi wasaidia arsenal chochote,kati ya Odegaard na maddison mi namchukua maddison" -
[George job- mchambuzi wasafi fm,7 Dec 2021]
View attachment 2217897
View attachment 2217899
View attachment 2217901
Conspiracy theoryJidanganyeni tu, Spurs ilipofikia sasa ni habari nyingine, muulizeni liverfool anaujua mziki wake vizuri sana.
Mechi mlizobakiza ni Spurs, Newcastle na Everton vyote hivyo ni visiki vya mpingo hapo mkijitahidi zaidi ya uwezo wenu mtaambulia point 3 ila sanasana hapo naona mna point 1 tu.
Spurs mechi alobakiza ni Vs Arsenal, Burnley na Norwich, hapo amekosa sana ana point 7 baada ya kudraw na nyinyi lakini kuna uwezekano mkubwa akaondoka na point zote 9.
hizi ng'ombe za Emirates kucheza Uefa ni baada ya miaka 10 mbele huko.
I doubt it mkuu. MO zao ziko tofauti saaaana unless anajitahidi. Mmoja ana maneno mengiiii, mwingine anapost mapicha na maemoji tu.
I doubt it mkuu. MO zao ziko tofauti saaaana unless anajitahidi. Mmoja ana maneno mengiiii, mwingine anapost mapicha na maemoji tu.
We jamaa. Maneno yako yamesababisha tuamue kumpiga Man Utd home na away next season. Si chini ya goli 3 kila game.vumilieni tu ila hata hivyo msimu huu mmejitahidi mmepata kombe hongera zenu.
Picha chini Aterta amebeba kombe la ligi kuu ya Uingereza.
View attachment 2217933
Sio goli 3 mnatakiwa mpige goli 4 kama Brighton nyie Vipi?We jamaa. Maneno yako yamesababisha tuamue kumpiga Man Utd home na away next season. Si chini ya goli 3 kila game.
Hiyo mechi ya Alhamis dhidi ya spurs tukishinda basi kila kitu kinakua kimeisha, hakuna atakayeshinda kutufikia hapo kwa walio chini.Mathematically, we need 6 points out of 9 to secure 4th place, if Tottenham win all their 3 remaining games.
We need 9 points out of 9 to secure 3rd place, if Chelsea lose or draw 1 of their 3 remaining games.
Ngoja tuone Hata Odegaard tulikuwa na hofu nae sana
Ila naona Arteta anataka ile 4-3-3 ikamilike yenye kucheza flowing football
Partey Kama kiungo wa chini
Juu Tieleman na Odegaard hapo wote Ni watu wa mipira ya mbele kwa 90%
Yupo badoVipi nafasi ya xhaka