makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,873
- 106,796
Leeds wana attempt moja, on target moja na ndio hilo hilo goli lao.
FactTimu inahitaji striker mmoja mwenye njaa, midfielder mnyumbulifu, timu inabidi arteta awaongeze wachezaji morali ya kusaka matokeo, sijui ni sababu ya utoto, naona kuna kitu kinakosekana hapa uwanjani
Upo wapi mzee?Na hata hivyo pia hiyo top 4 mwaka huu hawamalizi lazima watakua 5 huko kwa maaana Tottenham atawapiga na Newcastle hawaponi 🤣🤣🤣
Mungu Mkubwa tumewin ila players wetu hawa Mungu anawaona kinywaji hakipiti kwenye kooMbona pressure hii
Warra trophy for leedsMpira mbovu.
Ila point 3 muhimu.
Hatimaye leo tumefungwa goal la kona.
Timu yetu hili ndio tatizo kubwa game simple kama hii tunakaa roho juu juu players wetu ndio hawa tunawajua sometimes wanajituma sometimes wanakuwa wazembe after red card no maajabu tena


halafu hili timu kwa wachezaji wa sample hii ndio unalipeleka CL. Naisubiri hii sikuNaona West ham wanataka kumtoa man u pale alipo aendo conference league😁
Attempts 10 goli 2Kuna chapati moja litakuambia 'Leo westham wana jambo lao' westham anapigwa.
Leo kaja anakuambia leeds wana jambo lao. Leeds anapigwa.
Nina uhakika ni Arv kabadilisha id
Wanamtoa West Ham ana michezo mitatu anahitaji ashinde miwili tu ,GD man u 1 , westham 11Naisubiri hii siku
Mbona simple tu, tunasajiri CFAttempts 10 goli 2
Attempt 1 goli 1
Vipi nyumbu janahalafu hili timu kwa wachezaji wa simple hii ndio unalipeleka CL.
Timu inayojielewa kama Brighton kwa nafasi mlizozipata nyinyi ingekua imeshafunga magoli 10.
TumezionaPamoja na Leeds kua na kadi nyekundu endeleeni kunywa mtori huku mnafurahia ila nawahakikishia nyama mtakutanazo chini kabisa kwenye dakika 90.