Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Nketiah huwa ana magoli mazuri ,Oya sio siri Nketiah kwa performance ya jana binafsi kanishawishi, kadrop Champions league performance, naona anastahili rotation, alipiga mwingi sana dogo.
Sure, ila jana kafanya mazishi, anastahili hizo stats.Nketiah huwa ana magoli mazuri ,
Hivi kwa Jana mfano ile pass ya Elneny , anaipata mtu Kama Jesus , au hata angekuwa Smith Rowe angekuwa anapoza vile ,? Tena mbele ya Zuma
Unakumbuka alivyoingia Smith Rowe alipata mpira kule kule , akafanya skills watu wakashindwa kufinish
Jana ndio nimeamin Kuna muda takwimu hazifai kumdefine mchezaji
Kuna mipira nketiah anapata anawaza kupiga golini tu ,
Anawekewa pass Safi ,yupo na zuma , anapoza Kwanza anasubiri had wengine wanakuja kuziba mianya
View attachment 2208795
Partey ni mtu na nusu, ndio maana kila siku naimba hapa, akipatikana mtu mwingine anamkaribia karibia partey basi arsenal hapo kati haitakuwa ikikamatika.Liverpool akishakuwa na Thiago na Fabinho wanakuwa wanyama sana ,
Naikubali sana ile mech ya Emirates , Partey alibishana nao sana pale kati, toka siku ile namuheshimu sana Partey ,
Totenham Jana kawekewa kikos Cha kawaida na Leicester lakin alikuwa anazidiwa sana pale kati,
Mpira una matokeo matatu, ila Ni Ngumu spursy kutoboa pale anfiled,
Tayari muhind kashampa Spursy odd ya 7
kwa skills omari yuko poa ila sioni akiziweza huku epl kwa akina kante na van dijk.Omary kale katoto kanajua sana toka kakiwa kadogo,
Pale academy ya Arsenal wanasema huyu mtoto ana kipaji kuliko hata saka , Arteta amekuwa alimleta afanye mazoez na senior team ,
Msimu ujao tutamuona ,
Charlie patino kwa eneo la kiungo lonahitaji nguvu sana. , Huyu anahitaji mkopo championship
Timu itakua na Gabriel watatu.🚨 Gabriel magalhaes priority is to stay at Arsenal despite interest from other clubs, and Arsenal are keen on signing Gabriel Jesus this summer. 🇧🇷 🔴 #afc
(via @FabrizioRomano 🌕)
ndo skills anazofanya Diaz atapata wa kuwalamba chengakwa skills omari yuko poa ila sioni akiziweza huku epl kwa akina kante na van dijk.
Kupoteza zaidi ya mechi nne kwa msimu ni mbaya sana kwa timu kubwa. Matumaini yanakuja kama tutapata clinical strikers. Defending yetu iliimarika tukaachana na 4-0 na 5-0 losses. Nadhani recent loss kubwa ilikuwa 3-0 ya crystal palace. Tukiongeza sana ufungaji tutaachana na hizi 1-0, 2-1, 2-0 losses na sare. Tutaanza kuhakikisha ucl na kupambania kombeLast season 62ponts leave us at number 8 today 63 ponts we are at 4th and left with 4 games,we have improved not as as we wanted,what I can ask Arteta and his troops is to avoid a lose at Emirates no matter what look now we have 11 loses I can be happy if we can cut this loses at least to 5 next season losing 11 is too much...
Hamna team ambayo iko full package mzee isikose mapungufu bt cha muhimu n kuona team ytu ina improve changamoto ytu kubwa ni iyo ya ufinyu wa kikosiAcha complacency hii timu bado ina mapungufu, kama umeangalia mechi ya jana kuna wakati ilikuwa kama tumepotea uwanjani. Moja ya mapungufu ni ufinyu wa kikosi. Hapa tulipo tunaomba isitokee injury/redcard kwenye starting 11, vinginevyo jukwaa tutalikimbia.
yaaap and ni team ambazo hazina presha kbsaNakubali, baadhi ya wachezaji wapo nyuma ya project. Eddie akienda Palace/ Brighton anaweza kuwa mkubwa coz kuna makocha wazuri kwenye hizi timu.
daaaah cazorla aseeeee jamaa mtu sanakwa hiyo tuachane nae maana hatuwezi kushindana na hawa kuku kwenye usajili kwa sasa. Tutafute cazorla flani south america huko
i go with neves anakaba anafunga ana assistKwako wewe tielemans na neves wakiwa mezan unaondoka na nani?? Na jinsi gani anatumika kwenye kikosi kwa sasa
Kivipi wakati wanacheza role tofautiElneny ajifunze kuattack opposition box, atakuwa mid mchafu aina ya Ikay Guendogan.
Game ya brighton na Southampton zimetuvuta shati tungekuwa mbali saana