Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Fake news bro Aaron ArsenalBREAKING NEWS:
Italian football agent Mino Raiola died after illness.
He was agent of Ibrahimovic, Pogba, Haaland etc
Ni kweli, zilisambaa sana ,kumbe bado mzimaFake news bro Aaron Arsenal
Fake news bro Aaron Arsenal
No mkorea, tatizo unaangalia mpira kama a one man show, yaani Aguero acheze na Van dijk / Mahrez acheze na Reece James, big No, mpira siku hizi unachezwa Collective / as a teamwork, Arteta anatafuta mtu wa kufill gap kwenye structure sio wa kuja kuonekana yeye ndio bora kwenye structure, so Tammy anaqualities zote anazohitaji Arteta.Arteta anataka nini kwa Tammy? Au kaona nini?
Haya ndio maswali makuu ya kujiuliza
Ameona backs za EPL bila kuwa na mtu kaliba ya (drogba, Suarez, Aguero, delima, lewandosk) kuna game mambo yanaweza yakakugomea
Nachomaanisha angalia backs za man city, Liverpool, Brighton. Unaweza ukawa unapata picha
Martinel au Jesus ata awe mzuri vipi akikutana na van D, bas usitegemee makubwa
Ila Jaribu kuvuta picha usumbufu wa Suarez akikutana na huyo huyo van D. Lazima wajipange
Lacazette amesha feli, good to say goodbye
Tammy ni suluhisho kwenye backs kama Liverpool, city?
Tammy anaweza ku-link na team kwenye build-up?
Vipi kuhusu injuries???
Price tag hii tunayoiona au itashuka?
Kuhusu Tammy nashauli tuwe subra kidogo the gunners
Kama nimekuelewa hiviNo mkorea, tatizo unaangalia mpira kama a one man show, yaani Aguero acheze na Van dijk / Mahrez acheze na Reece James, big No, mpira siku hizi unachezwa Collective / as a teamwork, Arteta anatafuta mtu wa kufill gap kwenye structure sio wa kuja kuonekana yeye ndio bora kwenye structure, so Tammy anaqualities zote anazohitaji Arteta.
I support this!
Aaron Arsenal nimewahi kueleza unahitaji kuona sajili tu pasi ya kufahamu nani anasajaliwa (Its like utoke useme Arsenal tumesajili to other teams fans blah blah)
Niliwahi kukueleza humu Willian ni worst blah blah zikawa nyingi matokeo uliyaona before that nilieleza Pepe matokeo tunayaona.
Fuatilia comments zako kuhusu Torreira, Mari, Maitland Niles, Saliba wakati wanasajiliwa na wakati wanaondoka unaweza kupata kujielewa ni mtu wa callibre gani.
Abraham sio mchezaji wa kucheza Arsenal tafuta zipo a lot of facts na factors, Abraham ni Seria A league na other farmers leagues player.
Recruitment team inabidi ivunjwe iundwe upya Dunia hii imejaza a lot of strikers eti Thursday wanaenda kumscout Abraham?sisi wengine tunakaa kimya hata huyo Edu anajua kungata na kupuliza utashangaa Nketiah ndio main striker next season
Tutapigiana kelele humu JF wakati Edu na Management kwa ujumla ni business as usual kama January ilivyopita tulipigiana Kelele humu Registation window ikapita hamna mchezaji mpya
he can still push for departure depending on the contract clauses on that subject
he can still push for departure depending on the contract clauses on that subject
Sasa Aaron Arsenal anasema Tammy kwakua katakwa na kocha mimi ni nani nione hafai.
Hakuna namna tutalingana mawazo.
Mimi ni miongoni mwa wenye imani na Arteta ila hainizuii kutoa maoni. Alitakwa Lewin nikasema, Locatelli, Vlahovic n.k kwanini tumefika kwa Tammy Aaron anakua mkali anaandika maneno ya jikoni?
Kwamba ana umiliki na Arsenal sasa.
Tammy abraham hapana kabisa!.. Ila kwa Jesus, Arteta ahakikishe anakuja!.. Huyu jamaa ni chombo!.. Mimi namkubali sana mwambaNeuer anasajiliwa Bayern alikua anazomewa msimu mzima au nusu msimu.
Kocha aliona potential akamsajili Neuer lakini mashabiki wakawa wanazomea.
Leo Neuer yuko wapi?
Yeye kocha kuona potential hainizuii shabiki kusema ninachoona na mimi naona Tammy hana ukali huo.