Actually nimekunja kweli. Unaandika maneno ya kimiyeyusho sana wewe unaniuliza mimi namkataa Tammy kama nani?Mbona una hasira , kutokuwepo humu mara kadhaa na sababu zangu binafsi ,ila hainuzuii kurud na kusoma comment
Ww ulikuwa kinara na umekuwa kinara wa kupinga sajiri na zinakuumbua , ulikomaa humu aletwe onana ,
Halafu ceballos sio usajiri wa Arteta kamkuta ni mkopo na alimtudisha Madrid, Partey ndio usajiri wake kabisa na tunaona Matokeo yake
Huyo Aouar uliyetaka Aje walimuacha
Tufike mahala tuheshimu taaluma za watu
Ceballos hajawahi kuletwa na Arteta ,
Arteta na Edu toka last season Tammy yupo kwenye list yao , wewe unamkataa kama Nani? Ume anilize vitu gan tofaut na wao
Gabriel Jesus unamkataa , Kocha anamuhitaji, njoo na fact ume anilize vitu gani tofaut na Kocha
Sasa mtu anakutajia Tammy Abraham kweli?
Aaron ninachokuambia ni kwamba wakati tunatetea hizo sajili za Arteta wewe hukuwepo ulikua umejificha unaona aibu.Acha hasira , Wala hakuna sehemu nimeleta maneno ya jikoni
Nimekukumbusha tu umekuwa kinara wakuwa na sajiri zako tofaut na Kocha ,
Fika mahali kubaliana na Kocha anpoenda tofaut na sajiri za kichwan mwako ,simple
Kocha ana structure yake anajua fulan atafit ,sio majina ilimrad tu
First choice kwenye position ya Jesus ni nani?Hii ni bei imetajwa kwenye fununu. Bado hatujapewa gharama rasmi katika fununu nilizoziona mimi imetajwa 50M na mshahara wa 6M kwa mwaka.
Kwa sasa analipwa 3.5M so tunamzidishia 2.5M mchezaji ambaye alipotoka amekua second choice. Na ilitakiwa uletwe mbadala wake for seasons
Hapa ndipo mimi natofautiana na wengi inapokuja ishu ya usajili.Castr inaonesha ungekuwa Mshabiki wa Liverpool halafu ukasikia Timu inamtaka Robertson, Thiago, Diaz na Salah basi ungehama Timu.
- Ungesema Robertson ni Mchezaji aliyeishusha Daraja Hull City.
- Ungesema Thiago tumenunua Mgonjwa aliyezeeka.
- Ungesema Luis Diaz hajawahi kucheza Timu kubwa yoyote wala Hana Stats.
- Ungesema Salah ni Flop wa Chelsea.
NunezFirst choice kwenye position ya Jesus ni nani?
Mm sijawahi kukimbia humu ,nipo nadhan kabla yako, unasema nilipinga usajiri wa Partey nikaona aibu?Aaron ninachokuambia ni kwamba wakati tunatetea hizo sajili za Arteta wewe hukuwepo ulikua umejificha unaona aibu.
Mimi ni kinara wa kupinga sajili? Ndiyo na ya kwanza ilikua ya Partey na hilo dirisha ndiyo likafanya ukimbie humu. Leo unaandika kama vile Arteta hajawahi kumess up.
Hivi kuna shabiki anasema timu yangu inamsajili Mayele? Si anasikia timu yake imehusishwa na mchezaji fulani ndiyo anatoa maoni? Sasa mimi natoa wapi sajili za kichwani mwangu?
Hapo ndipo mnapokosea , Jesus hayupo kwenye kapu moja na Nunez,Nunez
Hapa ndipo mimi natofautiana na wengi inapokuja ishu ya usajili.
Mimi hua siangalii stats.
Hua naangalia mchezaji anaweza kufanya ambacho timu inataka kufanya? Mfano kuhusu Thiago nikiwa kwenye uzi wenu nilisema kwamba Klopp anatumia kiungo kama support ya defense ndiyo maana Gini hascore Liva kuliko akiwa national.
Na kwa nature ya Thiago basi liva imempata mtu anayeendana na mfumo. Hiyo niliandika kwenye uzi wenu.
Diaz hajacheza timu kubwa lakini ana traits zote za kudeliver, skills, pace, finishing, positioning so hata isingenisumbua. Na mostly mimi hua naongelea traits za mchezaji naongelea takwimu mara chache sana.
Kwa mtindo huu huu ndiyo nikasema Lewin hafai Arsenal. Na kwa mtindo huu huu bado naamini Pepe anaweza kubadilika coz ana traits zote za kumfanya bora.
Hao wote uliotaja nisingeangalia walipopita ningeangalia mambo mengine kabisa ambayo nikiyaangalia nikisema ndiyo anatokea mtu anakuuliza swali la jikoni.
Soma vizuri uliponiquote.Mm sijawahi kukimbia humu ,nipo nadhan kabla yako, unasema nilipinga usajiri wa Partey nikaona aibu?
Utakuwa unanifanaisha, mm nimekuona mara kadhaa ukipinga sajiri za Ramsadale ukimtaka onana, nikitulia naweza kukuletea hata screenshot zako
Ninachokwambia jifunze kukubaliana , leo umeanza kubeza usajiri wa Jesus ,
Edu kasema watasajiri wachezaji wawili umekimbilia ni hao hao , nimekupa ushahidi hizo ni big signing wakimaanisha ni zile za kutumia pesa kubwa , unasema tusimuamini edu ,
Upo serious kweli dirisha hili Arsenal haitasajiri zaid ya wawili?
Kocha wa Man u amekuwa Kila siku akiwatolea mfano Liverpool na city , hawasajiri majina ila wanasajiri wachezaji wanaoingia kwenye proper structure,kwenye sajili kuna kupatia na kukosea ,vzuri tunap onglea wachezaji tusi anglie names bali tuitizame zaid profile y mchezaji ,namna gn anav cheza na je itaendna na namna arteta anaeza mtumia kwnye structure y timu yake!
kocha nd anaejua nin anataka ,tuhifadh manen ,kama n hukumu aje kuipata baadae kw sajil atazofanya.
Usajiri wa Partey haujawahi kuwa panic buy , neverSijasema ulipinga usajili wa Partey. Nimesema MIMI NILIIITA USAJILI WA PARTEY NI PANIC BUY.
Osimhen kasajiliwa na Napoli kwa 80M nafikiri na hajawa na msimu mzuri sana amekua anapata red za hapa na pale na hajawa alivyotarajiwa.Hapo ndipo mnapokosea , Jesus hayupo kwenye kapu moja na Nunez,
Vyanzo karibu vyote vya kuaminika vinasema Arteta anataka washambuliaji wawili
Na hata kwa common sense anaondoka Laca ,Nketiah , auba
Sasa Jesus huyu ni mshambualiaj anayecheza nafas zote za mbele , hivo Kuna mwingine anahitajika ambaye ni CF , ndio hao kina Tammy, Nunez,Osmhen wanatajwa
Nimeandika ambacho niliandika siku Partey anasajiliwa. Niliandika na wengi mkaniambia nitulie wewe ukiwemo.Usajiri wa Partey haujawahi kuwa panic buy , never
Alianza kutakiwa mwanzo kabisa, arsenal wakasubiri tu mwisho wa trigger Release clause ,
The Athletic ni tier 1 wanasema ,Arteta alichora blueprint yake akaipeleka kwa uongoz , ikiwa na jina la Partey wakati amefika tu ,
Hakuna sehemu nimesema sajiri mbili zinatosha ,Hii Arsenal inahitaji sajili nne ambazo wewe unaona mbili zinatosha. Nne kwakua tunahitaji ST 2, tunahitaji kiungo na Winger ambao hao wote watahesabiwa kama big signings.kisha wasajiliwe back up.
Kwahiyo partey ni usajiri wa ovyo?au hajafit kwenye mfumo wa mwalimu ? Au hoja ni ipiNimeandika ambacho niliandika siku Partey anasajiliwa. Niliandika na wengi mkaniambia nitulie wewe ukiwemo.
Tunaangalia mpira kwa angle tofauti. Zoea kukuta vitu hujawahi kuwazia au vilivyo kinyume na mtazamo wako.
Sasa kama unakubaliana na mimi kwamba sajili 1 au 2 hazitoshi mbona tena unashangaa ninaposema tunahitaji zaidi? Na unadai nimuamini kocha kwa huo usajili mmoja atakaofanya?Hakuna sehemu nimesema sajiri mbili zinatosha ,
Arsenal inahitaji sajiri nne had 6 ,
Alichosema Edu kwamba msimu huu walitumia £150m kubalance kikos , msimu huu wapo tayari kutumia helakubwa kwa signing 1 or 2
Arsenal technical director Edu has confirmed that he is 'excited' for the club's plans in the summer transfer window. The Gunners spent £150million on six new signings last summer as they became Europe's biggest spenders.
football.london understands that Manchester City forward Gabriel Jesus and Roma frontman Tammy Abraham are among the shortlisted profiles who could arrive at Emirates Stadium this summer. Jesus in particular remains open to leaving the current Premier League champions, with his representative holding talks with Edu throughout the past few months.
Former Chelsea forward Abraham has scored 15 goals in Italy this season and was previously the subject of enquiries from Arsenal in January. It's expected that the Gunners will focus on bringing in two marquee names this summer, although football.london understands that Edu has not ruled out bringing additional players in.
"The budget we used last summer, we prefer to use it to rebalance the squad, there was no point in hiring one or two players [in January], the squad was not prepared to absorb two players, we needed to rebalance the squad," Edu told ESPN Brasil. "Maybe next season we can go to one or two players.
"Today we find a much more balanced squad. Our planning has already been done, it has already reached the owners.
Huyu jamaa binafs simkubali ,japo yupo naona kwenye list ya wanaotajwaOsimhen kasajiliwa na Napoli kwa 80M nafikiri na hajawa na msimu mzuri sana amekua anapata red za hapa na pale na hajawa alivyotarajiwa.
Osimhen ni Laca kijana. So with time atakua mzuri kama napoli itamuachia.
Jesus amequotiwa akisema anachukia kuchezeshwa pembeni na Arsenal pembeni kuna watu tayari hivyo akija ni kuvaa viatu vya ST.
Hawa ma CF unaowataja nani atakuja kukaa benchi?
Hoja ipi vipi?Kwahiyo partey ni usajiri wa ovyo?au hajafit kwenye mfumo wa mwalimu ? Au hoja ni ipi