Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe huna u-die hard fan wowote. Wewe huna unalojua kuhusu football. Unapayuka tu mamluki. Unajifanya Arsenal kumbe mchawi tu
 
Huyo mtu ni hater. Watu wa aina ya huyu computerarsenal mara nyingi huwa wachawi.

Anajiita die hard fan?? Umeona wapi die hard fan anaitukana timu?? Die hard fan hawezi kuhama timu. Kikwete tangu enzi za Shearer ni Newcastle mpaka Leo ni Newcastle. Hao ndio die hard fans
 
Wewe huna u-die hard fan wowote. Wewe huna unalojua kuhusu football. Unapayuka tu mamluki. Unajifanya Arsenal kumbe mchawi tu
Naenda kuchukua laki yangu endelea na Kelele nimechoka kurudia rudia maandiko naona umekuja baada ya kuwa tumeshinda game ambayo hata mimi nilisema tutashinda muda wote ulikuwa wapi unakuja after game kuisha?Fuc*** unanipotezea tu muda acha niwahi laki yangu
 

Tushangilie ushindi achana na malumbano
 
ARV huyo mazee, mnapoteza muda anaenjoy kuwachallenge
 

Kosi la maangamizi, leo Manchester United anaungana na Urusi kuwapiga vibaraka wa ZeleiskyView attachment 2197581

Naamini unalia kwa Uchungu muda huu na kumtukana mwalimu wa Klopp na Tuchel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…