Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
I'm not trying to offend anyone lakini tuongee ukweli tu kuja kwake Arsenal sio kwamba Arsenal ameweza attract big stars kuja kwa kipindi hiki.Oya we computerarsenal ndio unasemaga Arsenal haina uwezo wa kuattract big players, This is Arsenal, umbwaaaaa.
Ni kwa sababu Jesus hana sababu ya kubaki City ambapo anakula mkeka. Guardiola anaona bora acheze na Foden (false 9) kuliko kucheza nae. So jamaa hana option nyengine ukiangalia ndo kwanza ana miaka 25.
Hili deal halina tofauti sana na deal la Willian na David Luiz from Chelsea. Was very easy!
Ni ushawishi wa Edu kwa wabrazili, uhusiano wake hapo nyuma na Arteta bila ya kusahau hana other option ndio mambo yatakayomfanya aje.
Lakini hakuna star mkubwa ambae hataki kucheza UEFA. Kama kweli Arsenal walikuwa na uwezo na ku attract big stars katika hiki kipindi kigumu, basi wasingeshindwa kumsajili Vlahovic, Aouar, n.k.
league unaweza ukalinganisha mafanikio yao?ok for exampe ndogo Klopp amefika Champions
tena unasema Pochettino alikuwa na uzoefu kuliko Klopp bro are u gentle?Pochettino achievement yake kubwa kwenye UCL ni 2019 huo uzoefu kautoa wapi?