computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Una akili fupi sanaAna account mia ingine Anajiita Computer arsenal ingine milango mitatu yani ilimradi tabu tu
Bora umerudi kamanda maana uzi uli poa mno , karibu uchangamshe siredi yetu ..NGOJA TUONE...
WATAHANGAIKA SANA NA ARSENANE YAOAna account mia ingine Anajiita Computer arsenal ingine milango mitatu yani ilimradi tabu tu
JUMATANO MBELE YA TUCHEL WATAKUKUBALI TU MWAMBA. WANA KATIMU KA WATOTO WA KUOKOTEZA WA FORM FOUR ETI "tunataka kwenda UEFA" . AIBU SANA KUPOTEZA MECHI TATU MFULULIZO!!! HATA NORWICH HAWEZI KUFANYA HUO UOZO.Una akili fupi sanainatia huruma mimi nakupaga ukweli na Arteta wako angalia sasa Majanga anayotuletea katika timu yetu na Wednesday tuna Chelsea endelea na uchambuzi uchwara ambao hauna mantiki sema nachokiongea daily yameanza kutokea na unayaona wakati unayosema wewe daily yanakuwa ni nonsense
🤣🤣🤣🤣🤣🤣"Aser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowo, wakisema chukua yote" Cash Money Forever
Vip mtamfunga Chelsea?Oya huyu Saliba anajua, namuangalia hapa vs Psg mtu sana
Una akili fupi sanainatia huruma mimi nakupaga ukweli na Arteta wako angalia sasa Majanga anayotuletea katika timu yetu na Wednesday tuna Chelsea endelea na uchambuzi uchwara ambao hauna mantiki sema nachokiongea daily yameanza kutokea na unayaona wakati unayosema wewe daily yanakuwa ni nonsense
kuwa na adabu, vinginevyo unarudi lupangoARV maarufu kwa emoji😀😀😀 ameishakula ban, sijui kababatizwa na kifungo cha muda gani, lakini hamtamuona hapa tena na utoto wake
We usitake kuchekesha Maiti iliyolala Klopp wakati anakuja Liverpool alikuwa ametokea wapi?na Arteta alikuwa ametokea wapi?Klopp ametokea Dortmund kama Kocha Mkuu na alikuwa ameibadili timu nusura abebe Champions league bahati mbaya haikuwa kwake but the way style of playing ilikuwa babkubwa na alikuwa na wachezaji wa kawaida ambao hakuna timu yoyote ilikuwa inapenda kucheza nao na alikuwa kina Gundogan ,Reus,Lewandoski,Hummels na wengineo ambao bila yeye Klopp leo wasingefahamika Duniani na alikuwa anasumbua timu yoyote ile muulize Mourinho na Guardiola watakwambiaMsimu wa kwanza na wa pili Klopp alipoanza kuifundisha Liverpool ulikuwa umeshaanza kushabikia mpira?
Unajua aina ya wachezaji aliokuwa nao? Kama hujui ni:-
Mignolet (GK)
Ibe (Mshambuliaji)
Origi (Mshambuliaji)
Benteke (Mshambuliaji)
Lallana (Mshambuliaji)
Emre Can (Kiungo)
Lucas (Kiungo)
Henderson (Kiungo)
Moreno (LB)
Clyne (RB)
Kolo Toure (CB)
Skirtel (CB)
Sakho (CB)
Lovren (CB)
Sasa hapo kwenye Ligi muulize @WillJr nafasi yetu kwenye EPL ilikuwa ni ya 7 au 8 tukigombania nafasi ya Europa na kina Westham.
Je, kwa kipindi hicho mbinu za Klopp zilikuwa mbovu? Je Klopp hakuwa Kocha alipaswa kufukuzwa?
Hiyo ndiyo same scenario na Arteta, kwa qualities za wachezaji alionao hata umlete Pep na Klopp wawe Kocha na msaidizi wake basi Timu haitaweza kufanya lolote hiyo na utasema wafukuzwe hawafai.
Hebu angalia muna mchezaji calibre ya Son na Kane? Mane na Salah? De Bruyne na Mahrez? Mount na Harvetz? Ronaldo na Fernandez? How Arteta ataweza kucompete na Timu hizo?
Hebu mpeni Wachezaji wa maana ajenge Timu ya ushindani then muweze kumuhukumu.
Sasa hivi wanachambua maharage.vipi humu hamna ule uchambuzi wa mchongo siku hizi?
Timu hawana kenge hawaSasa hivi wanachambua maharage.
Kwani Arteta hajabeba kombe, upinzani mwingi ni vyema ukawa na miguu na macho, Arteta ni bonge la kocha, hana timu nzuri tu, Arsenal mimi naona timu inayokuwa yenye vipaji changa Prospect wa baadaye. Hata aje kipara, Arsenal ile ile na matokeo yale yaleWe usitake kuchekesha Maiti iliyolala Klopp wakati anakuja Liverpool alikuwa ametokea wapi?na Arteta alikuwa ametokea wapi?Klopp ametokea Dortmund kama Kocha Mkuu na alikuwa ameibadili timu nusura abebe Champions league bahati mbaya haikuwa kwake but the way style of playing ilikuwa babkubwa na alikuwa na wachezaji wa kawaida ambao hakuna timu yoyote ilikuwa inapenda kucheza nao na alikuwa kina Gundogan ,Reus,Lewandoski,Hummels na wengineo ambao bila yeye Klopp leo wasingefahamika Duniani na alikuwa anasumbua timu yoyote ile muulize Mourinho na Guardiola watakwambia
Klopp kaja Liverpool kakuta kweli players wengi walikuwa ni Rubbish na hakuwa na papara kaanza kusajili mmoja mmoja na wengine kawatoa Academy kabisa but sababu ya EXPERIENCE KWENYE FOOTBALL leo tunaiona Liverpool ni one among the best team in the worldna Klopp hakuwahi kurudi step back ameanza nafasi ya 8 then 6 then 4 now Ubingwa na Arteta kaja Arsenal akamaliza nafasi ya 8 last season wa 8 now this season haieleweki na Kumbuka Arteta ni Manager sio kocha peke yake
Arteta ana LACK EXPERIENCE ya ukocha hili ndio tatizo kubwa this season two players wamepata injuries timu imeanguka kupitiliza na sasa tupo katika hatari ya kuendelea kupoteza games za kutosha na tukikosa Champions league hakuna Big players ambao watakuja Arsenal sababu kwanza kocha hana lolote alijualo kwenye Michuano ya ulaya na Arsenal haishiriki Michuano so kupata players ni tatizo na haitawezekana
Kwa kumaliza Arsenal itaamka siku akija Owner mwenye uchungu na Arsenal ambaye akija ataanza kutimua kocha na robo 3 ya players ambao timu itaanza upya na Kocha mwenye EXPERIENCE na wachezaji wapya(baadhi wa kujenga timu)Hapo Arsenal itapanda kufikia kuwa tishio inawezekana Kroenke hata Arteta hamjui (inawezekana) na timu nzima labda anawajua wachezaji wawili pekee
Hvyo mfano wa Klopp na Arteta ni Mbingu na Ardhi ulioutoa haufanani na wala hauendani kamwe Klopp kaja Liverpool akiwa ni Kocha mwenye EXPERIENCE na leo inadhihirisha EXPERIENCE yake na Arteta amekuja Arsenal akiwa ndio anaanza ukocha rasmi yaani hakuna anayejua uwezo wake na leo yanaonyesha toka game 3 Mkononi vs Spurs Manchester United leo wote hao wametupita kwenye msimamo
Ukitaka kuona Arteta hajui kitu inawezekana mimi pia sijui football angalia maamuzi yake ya January yanavyoiumiza Arsenal kwa sasa leo Arsenal ina Lokonga but kuna Guendouz Torreira ambao wana shine huko nje na Wamekataa kurudi Arsenal sababu ya maamuzi yake ya Kijinga jinga amebaki na Laca na Nketiah huku Auba kaondoka bila replacement
Inawezekana kama kocha angekuwa KLOPP ENRIQUE Arsenal hii hii ingefuzu Champions league bila Presha sababu
Hata matokeo mabaya ya Arsenal mengi msimu huu ni sababu ya Upangaji wa kikosi kizima sometimes na yeye mwenyewe kukiri amekosea kwenye squad selection hii Mimi na some fans ndicho tunacholilia Kocha mwenye EXPERIENCE that's it
Hawawezi kuendelea kubaki arsenal kama timu yetu haina muelekeoHata msipofaulu top 4 bado mna timu nzuri ya kesho na keshokutwa katika kukua
So much young talents nafikiri kuzidi timu nyingi za EPL tatizo tu wakishajulikana wanauzwa
- Saka 20yo
- Martineli 20yo
- Tavares 20yo
- Rowe 21yo
- Nketiah 22yo
- Sambi Lokonga 22yo
- Tomiyasu 23yo
- Odegaard 23yo
- Ramsdale 23yo
- Tienrney 24yo
- Benwhite 24yo
- Gabriel 24yo